Kuna tofauti kubwa ya uchekeshaji na ufanyaji ujinga Idris Sultan ni mfanya ujinga sio mchekeshaji

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Ninaomba ieleweke wazi sina bifu na Idris Sultan wala sijawahi kuwa na bifu naye ,ila penye ukweli lazima pasemwe huyu bwana mdogo ni mfanya ujinga na mambo ya kitoto toto ambayo yeye binafsi anadhani anatuchekesha kumbe tunamuona ni punguani tu asiye jielewa.

Mbali na yeye wengine wanaomfuatia kwa kufanya ujinga huku wakidhani wanatuchekesha ni Mkali wao na Dullvani wote hawa ni wafanya ujinga na mambo ya kipuuzi puuzi yasiyoeleweka.

Kwa ambao mpo karibu na Idris Sultan mwambieni tumechoka kuona mambo yake ya kipuuzi abadilike anatuboa.
 
DAAAH HAWA WACHEKESHAJI WA SIKU HIZI WANATUFANYA TUENDELEE KUA NA MZEE MAJUTO MMOJA TU KUWAHI TOKEA

Huyu Mzee kajaaaliwa haswaaa,hahitaji kuvaa gauni gagulo,kujipaka masinzi wala bonge la tumbo ili kumchekesha MTU
 
Daah kiukweli nakuunga mkono 100% kwa sis ambao tunatafuta kucheka Idris sijui na yule Mc pilipili ni Zero kabisa katika fani ya uchekeshaji.

Sijawai furahia vichekesho vyao. Kuna watu wanajua kuchekesha kuna Marehemu Kinyambe(RIP) huyu hanichoshi kabisa nitacheka siku nzima, na wengine mara nyingi kipindi cha vituko Show cha cha chaneli teni kipind kile unacheka mpaka mbavu zinataka kuvunjika, Joti yupo vizur, mzee majuto...mpoki sio sana kivile

Mara Mia nitazame Churchill Show ya kenya..hawa jamaa wapo vizur sana na standup commedy.
 
Dogo Idrisa Sultan alikuwa I-view Studio kama mpiga picha...ila akawa busy kubet mashindano ya nje, so akaangukia Big Brother. Kapata mkwanja think-tank wake wakamshauri kuwa kwasababu ameshakuwa celebrity, atafute shughuli ya kumantain hiyo status, basi akachagua kuwa Comedian...but purely, this guy has nothing to offer in Comedy Industry.
 
Daah kiukweli nakuunga mkono 100% kwa sis ambao tunatafuta kucheka Idris sijui na yule Mc pilipili ni Zero kabisa katika fani ya uchekeshaji.
Sijawai furahia vichekesho vyao. Kuna watu wanajua kuchekesha kuna Marehemu Kinyambe(RIP) huyu hanichoshi kabisa nitacheka siku nzima, na wengine mara nyingi kipindi cha vituko Show cha cha chaneli teni kipind kile unacheka mpaka mbavu zinataka kuvunjika, Joti yupo vizur, mzee majuto...mpoki sio sana kivile
Simpendi Mc Pilipili ila basi, uchekeshaji mwingine ni zero kabisa. Ndo maana nimebaki kutazama Churchill Show ya Kenya.
Hawa wanapata umaarufu nadhani kwa kuwa vijana wa siku hizi hawajacheza ile michezo ya kiswazi ambapo kuanzia asubuhi mpaka jioni mmecheza michezo kibao mpaka mchezo wa mwisho kabisa wa kutaniana (comedy ilikuwa kitaa ya asili)...sasa ukipita kwa mfumo huu comedy za Pilipili na Idris huwezi cheka na kama ukicheka basi inabidi ujifanyishe uende sambamba na washikaji zako uliokaa nao
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Ni kweli yani.
 
Ninaomba ieleweke wazi sina bifu na Idris Sultan wala sijawahi kuwa na bifu naye ,ila penye ukweli lazima pasemwe huyu bwana mdogo ni mfanya ujinga na mambo ya kitoto toto ambayo yeye binafsi anadhani anatuchekesha kumbe tunamuona ni punguani tu asiye jielewa.

Mbali na yeye wengine wanaomfuatia kwa kufanya ujinga huku wakidhani wanatuchekesha ni Mkali wao na Dullvani wote hawa ni wafanya ujinga na mambo ya kipuuzi puuzi yasiyoeleweka.

Kwa ambao mpo karibu na Idris Sultan mwambieni tumechoka kuona mambo yake ya kipuuzi abadilike anatuboa.
Lakini si anapata chapaa, sio???
 
Hatimaye leo ameanzishiwa UZI,huyo jamaa kwenye fani ya uchekeshaji ni mweupe kabisa yaani..!
Sasa sijui hanaga washauri au washauri wake wameamua kumpuuzia..!
Anadharirisha sana watu warefu huyu kijana..!!!
Kuna mwingine anaitwa Jaymondy,yaani hili ndio jinga kabisa,kuna siku liliwahi kupost video MASHINE yote nje..!

Idris na wenzako tajwa,muache matendo ya kijinga,sio lazima mfanye comedy,kazi zipo nyingi tu..!

Kama wewe kubwa jinga Idris,umetajwa na jarida la Forbes kama kijana mdogo+mjasiriamali mwenye ushawishi mkubwa,punguza utoto aisee..!
 
Kila mara watu wanaonizunguruka(familia, rafiki, ndugu na jamaa) wamekuwa wakiniambia mimi ni comedian mzuri sana, nilikiwa siamin mpka siku niliyomsikia mc pilipili ndio mie nikajua basi naweza kweli kuwa mchekeshaji mzuri..
 
Back
Top Bottom