Kuna tofauti kubwa ya uchekeshaji na ufanyaji ujinga Idris Sultan ni mfanya ujinga sio mchekeshaji

Kuna tofauti kubwa ya uchekeshaji na ufanyaji ujinga Idris Sultan ni mfanya ujinga sio mchekeshaji

Daah kiukweli nakuunga mkono 100% kwa sis ambao tunatafuta kucheka Idris sijui na yule Mc pilipili ni Zero kabisa katika fani ya uchekeshaji.
Sijawai furahia vichekesho vyao. Kuna watu wanajua kuchekesha kuna Marehemu Kinyambe(RIP) huyu hanichoshi kabisa nitacheka siku nzima, na wengine mara nyingi kipindi cha vituko Show cha cha chaneli teni kipind kile unacheka mpaka mbavu zinataka kuvunjika, Joti yupo vizur, mzee majuto...mpoki sio sana kivile
Mara Mia nitazame Churchill Show ya kenya..hawa jamaa wapo vizur sana na standup commedy.
Churchill hauwezi kuifananisha na show yoyote ile ya hapa bongo "" Jamaa wanatisha
 
Dogo Idrisa Sultan alikuwa I-view Studio kama mpiga picha...ila akawa busy kubet mashindano ya nje, so akaangukia Big Brother. Kapata mkwanja think-tank wake wakamshauri kuwa kwasababu ameshakuwa celebrity, atafute shughuli ya kumantain hiyo status, basi akachagua kuwa Comedian...but purely, this guy has nothing to offer in Comedy Industry.
Uko sahihi sana,abadilishe fani tu,mbona ziko nyingi...
 
hivi kwa awamu hii kuna mtu unayeweza kumchekesha akacheka kweli??
atafute kazi nyingine tu.
 
Wachekeshaji wa bongo wanatumia nguvu nyingi kuchekesha....hakuna kitu kinachonikela kama wale wanaume wanaovaa nguo za kike kuchekesha, kwani hakuna namna nyingine ya kuchekesha kwa mujibu wa jinsia yako?
Mr Bean haongei na mtu ila utacheka mbaya jinsi anavyofanya wala hatumii nguvu....hii ni sanaa na kipaji sio kukurupuka tu kwa vile maisha ni magumu.
 
Kwangu mimi..... Comedian bongo ni hawa.... Joti.. Majuto na mpoki
 
Ha ha ha ha Idris sio mchekezaji kabisa huwa sana sana ni wa majungu labda anaweza kufit hapo.

Ukija kwa mc pili pili na ile sauti yake ya kike ambayo hawezi kukaza msuli kama mwanaume ndio kabisaaa sijawahi ona chochote cha yeye kunichekesha kamwe

Alikwenda UK akamfuck yule chizi mbutananga acha aanze kumvalia mchupi makubwa la nandy linasubiri yenye jina la pili pili sijui walimwagana maana sijaona hizo drama tena za machupi.

halafu bahati mbaya huyo MC Pili pili awe mc somewhere ha ha sijui lakini kwangu ni No.

1.Joti kwangu ndio namba moja wengine mmmh hapana labda pia kidogo sana Masanja na mama Ema
 
Wachekeshaji wa siku hzi wanachekesha badala wanaomtazama wacheke et wao ndio wanacheka
 
Ukiondoa Mpoki,Joti na Kitale wengine wote wanalazimisha fani lkn hawaiwezi uyo Idrisa na mc pilipil ndio kabisa
Acha utani hata akina abitoke, mjeshi na mparee.. Wale ndio watu wangu kwa sasa zaidi kuna Kash kash ya mizengwe..
 
Hamuwez kuwa serious kumfananisha mzee Majuto na vitu vya kijinga...!!! Yule mzee ni very talented aisee...!!!
 
Daah kiukweli nakuunga mkono 100% kwa sis ambao tunatafuta kucheka Idris sijui na yule Mc pilipili ni Zero kabisa katika fani ya uchekeshaji.
Sijawai furahia vichekesho vyao. Kuna watu wanajua kuchekesha kuna Marehemu Kinyambe(RIP) huyu hanichoshi kabisa nitacheka siku nzima, na wengine mara nyingi kipindi cha vituko Show cha cha chaneli teni kipind kile unacheka mpaka mbavu zinataka kuvunjika, Joti yupo vizur, mzee majuto...mpoki sio sana kivile
Mara Mia nitazame Churchill Show ya kenya..hawa jamaa wapo vizur sana na standup commedy.
Kinyambe ni hovyo kabisa..bora ungetoa mfano mwingine
 
Back
Top Bottom