Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Kinyambe japo alikuwa anajipindisha mdomo ila alikuwa anapunchline za kuchekesha na logic za ajabu. Kuna ile anagoma kulipa hela ya bodaboda..Daah kiukweli nakuunga mkono 100% kwa sis ambao tunatafuta kucheka Idris sijui na yule Mc pilipili ni Zero kabisa katika fani ya uchekeshaji.
Sijawai furahia vichekesho vyao. Kuna watu wanajua kuchekesha kuna Marehemu Kinyambe(RIP) huyu hanichoshi kabisa nitacheka siku nzima, na wengine mara nyingi kipindi cha vituko Show cha cha chaneli teni kipind kile unacheka mpaka mbavu zinataka kuvunjika, Joti yupo vizur, mzee majuto...mpoki sio sana kivile