Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Churchill ni kiboko mazee yaan ukutane na Pastor Kuria jaman mbavu zanguSimpendi Mc Pilipili ila basi, uchekeshaji mwingine ni zero kabisa. Ndo maana nimebaki kutazama Churchill Show ya Kenya.
Zaidi ya huyo awepo Professa Hamo na Mammito, siku yako itakuwa poa sana.Churchill ni kiboko mazee yaan ukutane na Pastor Kuria jaman mbavu zangu
Daah kiukweli nakuunga mkono 100% kwa sis ambao tunatafuta kucheka Idris sijui na yule Mc pilipili ni Zero kabisa katika fani ya uchekeshaji.
Sijawai furahia vichekesho vyao. Kuna watu wanajua kuchekesha kuna Marehemu Kinyambe(RIP) huyu hanichoshi kabisa nitacheka siku nzima, na wengine mara nyingi kipindi cha vituko Show cha cha chaneli teni kipind kile unacheka mpaka mbavu zinataka kuvunjika, Joti yupo vizur, mzee majuto...mpoki sio sana kivile
Hawa wanapata umaarufu nadhani kwa kuwa vijana wa siku hizi hawajacheza ile michezo ya kiswazi ambapo kuanzia asubuhi mpaka jioni mmecheza michezo kibao mpaka mchezo wa mwisho kabisa wa kutaniana (comedy ilikuwa kitaa ya asili)...sasa ukipita kwa mfumo huu comedy za Pilipili na Idris huwezi cheka na kama ukicheka basi inabidi ujifanyishe uende sambamba na washikaji zako uliokaa naoSimpendi Mc Pilipili ila basi, uchekeshaji mwingine ni zero kabisa. Ndo maana nimebaki kutazama Churchill Show ya Kenya.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Ni kweli yani.Hawa wanapata umaarufu nadhani kwa kuwa vijana wa siku hizi hawajacheza ile michezo ya kiswazi ambapo kuanzia asubuhi mpaka jioni mmecheza michezo kibao mpaka mchezo wa mwisho kabisa wa kutaniana (comedy ilikuwa kitaa ya asili)...sasa ukipita kwa mfumo huu comedy za Pilipili na Idris huwezi cheka na kama ukicheka basi inabidi ujifanyishe uende sambamba na washikaji zako uliokaa nao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Simpendi Mc Pilipili ila basi, uchekeshaji mwingine ni zero kabisa. Ndo maana nimebaki kutazama Churchill Show ya Kenya.
Bora Idriss Mara 100, Mc pilipili ni mtupu mtupu[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiondoa Mpoki,Joti na Kitale wengine wote wanalazimisha fani lkn hawaiwezi uyo Idrisa na mc pilipil ndio kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ila kuna ujinga mwingine unafanya mtu achekwe, labda hapo kwenye kuchekwa ndio huzani wamechekesha!
Lakini si anapata chapaa, sio???Ninaomba ieleweke wazi sina bifu na Idris Sultan wala sijawahi kuwa na bifu naye ,ila penye ukweli lazima pasemwe huyu bwana mdogo ni mfanya ujinga na mambo ya kitoto toto ambayo yeye binafsi anadhani anatuchekesha kumbe tunamuona ni punguani tu asiye jielewa.
Mbali na yeye wengine wanaomfuatia kwa kufanya ujinga huku wakidhani wanatuchekesha ni Mkali wao na Dullvani wote hawa ni wafanya ujinga na mambo ya kipuuzi puuzi yasiyoeleweka.
Kwa ambao mpo karibu na Idris Sultan mwambieni tumechoka kuona mambo yake ya kipuuzi abadilike anatuboa.