Kuna tofauti kubwa ya uchekeshaji na ufanyaji ujinga Idris Sultan ni mfanya ujinga sio mchekeshaji

Churchill hauwezi kuifananisha na show yoyote ile ya hapa bongo "" Jamaa wanatisha
 
Uko sahihi sana,abadilishe fani tu,mbona ziko nyingi...
 
hivi kwa awamu hii kuna mtu unayeweza kumchekesha akacheka kweli??
atafute kazi nyingine tu.
 
Wachekeshaji wa bongo wanatumia nguvu nyingi kuchekesha....hakuna kitu kinachonikela kama wale wanaume wanaovaa nguo za kike kuchekesha, kwani hakuna namna nyingine ya kuchekesha kwa mujibu wa jinsia yako?
Mr Bean haongei na mtu ila utacheka mbaya jinsi anavyofanya wala hatumii nguvu....hii ni sanaa na kipaji sio kukurupuka tu kwa vile maisha ni magumu.
 
Kwangu mimi..... Comedian bongo ni hawa.... Joti.. Majuto na mpoki
 
Ha ha ha ha Idris sio mchekezaji kabisa huwa sana sana ni wa majungu labda anaweza kufit hapo.

Ukija kwa mc pili pili na ile sauti yake ya kike ambayo hawezi kukaza msuli kama mwanaume ndio kabisaaa sijawahi ona chochote cha yeye kunichekesha kamwe

Alikwenda UK akamfuck yule chizi mbutananga acha aanze kumvalia mchupi makubwa la nandy linasubiri yenye jina la pili pili sijui walimwagana maana sijaona hizo drama tena za machupi.

halafu bahati mbaya huyo MC Pili pili awe mc somewhere ha ha sijui lakini kwangu ni No.

1.Joti kwangu ndio namba moja wengine mmmh hapana labda pia kidogo sana Masanja na mama Ema
 
Wachekeshaji wa siku hzi wanachekesha badala wanaomtazama wacheke et wao ndio wanacheka
 
Ukiondoa Mpoki,Joti na Kitale wengine wote wanalazimisha fani lkn hawaiwezi uyo Idrisa na mc pilipil ndio kabisa
Acha utani hata akina abitoke, mjeshi na mparee.. Wale ndio watu wangu kwa sasa zaidi kuna Kash kash ya mizengwe..
 
Hamuwez kuwa serious kumfananisha mzee Majuto na vitu vya kijinga...!!! Yule mzee ni very talented aisee...!!!
 
Kinyambe ni hovyo kabisa..bora ungetoa mfano mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…