Tetesi: Kuna tukio la uporaji mali limepangwa kufanyika Upanga usiku huu, Polisi wekeni doria

Jamaa huyo mmachinga ni Mjinga huo muda wa kwenda polisi angeutumia kumsaidia Binti au kuita watu ingekuwa vizuri sana
 
Mimi nimetoa taarifa tu, kama kutoa taarifa ni kesi basi sawa
Mpaka saivi una uhakika gani taarifa yako itakuwa imechukuliwa serious ili hali umeitoa juu juu tu?

Na vipi kama mtu huyo kweli akapatwa na tatizo usiku wa leo ? unadhani hautokuwa mmoja wapo wa kupewa lawama au hata kesi kwa kile kitakacho tokea?

Ni kweli haujataka kufika kituo cha polisi labda kwa sababu unazozijua wewe, lakini je kuna baadhi ya watu wengine hapo mtaani umewadokezea hii taarifa muhimu?
 

Mimi sikai maeneo hayo
 
Wale jamaa wa TISS ndo muda wao sasa kufanya kwa vitendo...

Washapewa location, sasa ibaki kazi yao moja tu kuguess the most correct locations of the target ili polisi wakapge kambi huko
 
Whatever,, lakini taarifa si umetuhakikishia ni ya uhakika???

That's why nikasema, lolote litakalo mkuta mhanga, kwa namna moja ama nyingine wewe ni muhusika,, ni vile tu umejificha kwenye id fake humu 😎.
Shida sasa huyo muhanga mwwnyewe simjui ila kama ningemjua au mahala anapokaa ningepajua ningeenda kumshtua
 
Ukweli usemwe katika majeshi yote tuliyonayo jeshi la polisi ndio linaongoza kwa matumizi madogo ya akili. Manguvu kibao akili kidogo.
 
Nipo Upanga hapa, Mpaka saivi sijasikia Paa. Mambo ni mawili mshamba mmoja kashatekenywa au wahuni kadhaa washashitukia mchongo.

Yani nimechelewa kulala ili nishuhudie tukio Daah umetuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…