toriyama
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 1,139
- 2,223
Jamaa huyo mmachinga ni Mjinga huo muda wa kwenda polisi angeutumia kumsaidia Binti au kuita watu ingekuwa vizuri sanaKuna machinga anarudi zake home,akaona tukio ndani ya bajaji njemba nne zinalazimisha kumbaka mwanamke.
Akaenda polisi kuripoti akawapeleka mpaka eneo la tukio.Kufika pale zile njemba zishatokomea,binti kalala akiwa uchi ajitambui.
Polisi wakampiga pingu yule machinga palepale mbele ya kadamnasi.
Hili tukio nilifatilia nikasikia kesho yake mwenyekiti wa mtaa alienda kumtetea huyo machinga akaachiwa.