Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

Ila asilimia kubwa watu uachana kwa ubaya mkuu Extrovert
Ofcourse kuna watu washenzi, hilo sikatai ila kuna watu smart pia. If its not working kila mtu anaangalia mustakabali wake kiutu uzima. Ila kwa wale wasio mature enough anaamua kuchiti mara umemfuma hapo kashakutia hasara kibao na false hopes lazma mtibuane nyongo tu.
 
X unaweza achana naye, lakini mkawa mnawasiliana kwa issue zingine zenye manufaa kwenu,mfano mimi kuna X wangu anani support kwenye biashara zangu na hatujawahi kuongelea issue za mapenzi tangu tulipo achana

Tujifunze kuwatumia watu kwa faida, Me kufuta no ya mtu kwenye simu yangu naona ni hasara ,Watu ni mtaji
 
Hongera sana.

Wengine hii dhambi acha itupeleke motoni tu na tuonekane tuna akili za kitoto,
Tukiachana vita ni vita tu.
 
Hakukua na haja
 
Joy ni rafiki yangu nami napenda pesa pia
Ana watoto kila mmoja na Baba yake kila anaetoa Pesa anamzalisha, km na wewe unapenda Pesa basi jiandae kupanga watoto kila mmoja na Baba yake maana wakishakuzalisha wataingia mitini tu
 
Kuongea na ex labda nikishaacha kumpenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…