Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

Una hakika binti anapokutafuta anakuwa bado na interest na wewe?
Kama je anataka kuona ulivyopauka/ kunona?
Ama tu anakupa Hi
Kwani hana ndugu au marafiki wa kuwapa hi mpaka mimi tu ?
 
Ulichokiandika kimeonyesha uwezo wako wa akili upoje na uzoefu wako wa maisha ni mdogo mno.Jifunze kwa waliokutangulia ujue maana halisi ya kuishi na watu
 
Utoto huo, kuna leo na kesho, watu wanaachana kwa amani tu, akikupa hi fresh tu, salamu haitii mimba.
We muache siku yuko sehemu kakwama na mtu wa kumpa msaada ni huyo aliyemwambia asimtafute maisha yake yote.
Labda km mademu wa jf wa pm sawa 🤣🤣🤣
 
𝒎𝒂𝒑𝒆𝒏𝒛𝒊 𝒚𝒂𝒏𝒂𝒕𝒆𝒔𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒖
 
We muache siku yuko sehemu kakwama na mtu wa kumpa msaada ni huyo aliyemwambia asimtafute maisha yake yote.
Labda km mademu wa jf wa pm sawa 🤣🤣🤣
Nu ushamba kuachana na mtu mkaapizana, au hata mkagombana na rafiki, ndugu kisha muapizane msigusane wala kushikana mpaka mauti ya mmoja wenu. Ni ushamba mnooo.

Halafu wanaume hatuapi hivyo, kuna siku mwali anaukumbuka ukuni, anakuomba na unapiga SAFI NA SALAMA yani.
 
NAKAZIA
 
Ningeshangaa umalize kutoa ushauri bila kukazia mambo yako pendwa 🤣🤣🤣🤣
 
Usitukane mamba kabla hujavuka mto, siku penzi lako jipya likichacha au ukipata shida ndio utaelewa.
Alafu wewe inaonyesha bado unampenda unataka kumuumiza ili kupoza machungu uliyonayo

Kama bado nampenda ndo kila siku awe ananitafuta yeye tu ? Mana me naweza kaaa hata miezi 6 bila kumtafuta sababu sina cha ziada kwake saaa unanishangaza kama sio kunichekesha unaponiambia kwamba bado nampenda.
 
Sio mimi, me mambo ya kuzini na ma ex sina mana siwezi jua wakati hatupo pamoja wahuni wamemchakata dry kiasi gani. Yanini kujitafutia UTI sugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…