Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

Utoto huo, kuna leo na kesho, watu wanaachana kwa amani tu, akikupa hi fresh tu, salamu haitii mimba.
Hapana aisee, mimi aliniacha kwa maneno ya hovyo sana kisha akarudiana na ex wake, akapewa mimba sa hivi ana mtoto wa kama miezi 9 hivi

Huwa anapenda kujipitisha ofisini kwangu
Mara amlete mwanae amuachie jamaa ninaye fanya nae kazi

Ili mradi tu atafute sababu ya kuongea na mimi

Ila bahati mbaya ndo sina muda nae namuona kama mjinga flani hivi

Maana sa hv nimeoa kabisa na mke wangu ni mzuri kuliko yeye
 
πŸ˜‚πŸ€£Aahh.. kama we unataka mie nifanyaje, tutafanya tu najua kwenye burudani UZAO unapatikana ndani yake.
🀣🀣🀣🀣 Si ulisema hutaki wewe!!
Nimekushika uongo
 
Umeona sasa kilichomtokea yeye, laiti kama mngeachana kwa amani, basi huenda ungemuina mjinga ila usingeshindwa msaidia hata buku 2, ila uaduia aliouleta ndio umemponz.
 
huwezi kujua wanasemaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…