Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Nakushauri usiznyoe mkuu..ukiznyoa ztaota nyingi zaidi thn itakuwa kero kwako....
Ukiamua kunyoa tumia mkas zkate juu juu tu...though yakiwa mengi sana ukikata gogo zitachafuka na gogo thn itakuwa easy kwako kupata magonjwa
 
Mkuu unajulisha kuwa unatoa 0713?
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi hahahahaha yuko busy kujipinda huku na kule ili aweke upara!!! ila umenichekesha sana Mkuu! Dah!

".....kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa "

UNATAKA ugundue nini baada ya kuzinyoa
 
Sivipendi hvyo vinywele kabisa kwanza vinaleta kaharufu ila sasa mtihani ni namna ya kuviondoa cjui unakaa style gani kila nikijaribu naona kero, huwa navitoa hata kwa mwaka mara moja
C umwambie mumeo akusaidie
 
Wee jamaa mstaarabu sana, acha kwanza tuvunjike mbavu kidogo!!!
 
Daah, nakutakia kila la kheri mkuu ktk ndoa yako tarajiwa.
 
Zinasaidia kupunguza msuguano wakati wakutembea. Kwa wanawake hawawwzi kuona tofauti zikiwepo au zisiwepo kwa kuwa wao hupaka mafuta maeneo hayo. Wanaume toka wapakwe mafuta kitaa hicho wakiwa wachanga hawahangaikagi tena wakikua. We wakwanza kushughulishwa nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…