Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhhhh uligraduate wapi mkuu?Njoo nikunyoe usipate shida tatizo litakuwa kwako umesema kwenu ndio makata mavi sio ukiyanyoa itabidi uingie chooni na [emoji418] wa kukatia hayo mavi baada ya makata mavi kuyakata.
Kama sivyo utakunya marefu bila shaka maana makata mavi yatakuwa ayajaota hayo makata mavi kwani kwenu wapi huko kwenye hayo makata mavi?
Tanzania kubwa hii na tamaduni tofauti sikuulizi kama mnajitawaza hapa nauliza hayo makata mavi [emoji38]
Wanawake wanakaaje Kwani, tusaidieNimewaza mkao utakao kuwa umekaa wakati Wa kuzinyoa ha ha ha ha ha
MbinukoWanawake wanakaaje Kwani, tusaidie
Staili gani unaweka wakati anakunyoa nyuma!?Mkuu unaweza nyoa tu, na haina madhara yoyote.
Binafsi nilikuwa sinyoi hata kidogo, na mara nyingi nilikuwa naogopa hasa kauli kama hizi za Wachangiaji hapa Jamvini.
Nimeanza kunyoa baada ya malalamiko ya mke wangu, alikuwa akilalamika mno na nikaona isiwe tabu kwasababu mtu pekee anayeuona utupu wangu hapendi kuniona katika hali ya kuwa na mavinyweleo mengi nimejikuta situnzi hizo nywele na kinyozi mhusika ni yeye tena sehemu zote yaani kuanzia kwapa, chini ya kitovu mbele na hiyo sehemu inayokukwaza mkuu.
Na nimejikuta hata kufuga nywele za kichwani sio mpenzi kapisa maana hata mwenza wangu si mtu wa kufuga minywele.
Haya wanayo andika wanajamvi binafsi nadhani yana akisi kile wakifanyacho ama wafanyiwacho.
Mi naona ungeweka Picha kwanza ili tujue tunajadili kitu cha aina gani,Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..
Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..
Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..
Karibuni wadau
Ushoga huoWadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..
Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..
Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..
Karibuni wadau
"Mkao"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimewaza mkao utakao kuwa umekaa wakati Wa kuzinyoa ha ha ha ha ha
Kwa wanawake sawa ila mwanaume daah mtihani huu[emoji30][emoji30][emoji30]Hizo ni nywele kama nyingine, unatakiwa kuzinyoa ili uwe safi