habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
Sijawahi kujua
Hivi hizo nywele za makalioni huwa zinanyolewa?
Hivi hizo nywele za makalioni huwa zinanyolewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja hii dhaifu mnoo pia nilisahau kuiweka..Mawazo yako yamesababishwa na kunyoa hzo nywele....
Hizo nywele ni muhimu sana ndo maana kiswahili fasa zinaitwa KATA MAVI. SASA WEWE UNAZINYOA MAVI YAKATWE NA NINI
We kwa nini unafuga labda ???Sijawahi kujua
Hivi hizo nywele za makalioni huwa zinanyolewa?
Fursa hiyo jamani[emoji23] [emoji23] sina mpenzi
ulikaa style ganiNilikuwa nayo yakutosha na nilikuwa na mpnz wangu kitambo so alininyoa kwa lazima sanaaa but sikupata madhara Ila wakati yanaota mjomba sehemu hiyo huwasha sana.
Zaidi hakuna shida wewe nyoa tuu ila utajiona tofauti sana hasa wakati wa kujichamba baada ya kunya utahisi kama unasafisha kinywa cha mtoto mchanga
Kwa hyo hata zile za kwapa mkuu haina haja ya kuzitoa ikiwa tutazingatia usafi wa kuziosha vizuri au vipi mkuu???Kwa mwanaume anaezingatia usafi nywele za sehem ya haja kubwa wala sio kikwazo kwake mpaka azinyoe! Cha muhimu ni kuzingatia usafi hasa wakati wa kuoga au ukishamaliza haja kubwa unahakikisha unasafisha na maji ya kutosha na sio kutumia toilet paper.
Pia sio kila kitu lazima usome na kucomentNenda kanyoe,sio kila kitu lazima uandike
Umekiandika cha nini sasa!? Ungeliendea bafu kusafisha mazingira ingekua bora zaidi ya kuwashawishi wengine na hii yote ni sababu ya wavulana wa sasa kuto pitia jandoPia sio kila kitu lazima usome na kucoment
Kisicho lazima kuandikwa sio lazima usome na kukoment....
Bado una akili za kitoto za kukomentwanaume tunapofanya usafi huwa tunategemea ugeni
vipi unamuandalia nani ??
au ndio unapalilia shamba??
Kwa hyo kufuga zile ni usafi au ??Umekiandika cha nini sasa!? Ungeliendea bafu kusafisha mazingira ingekua bora zaidi ya kuwashawishi wengine na hii yote ni sababu ya wavulana wa sasa kuto pitia jando
unatumia style gani kunyoa??Bado una akili za kitoto za kukoment
Acha nitabasamu tu