Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Mmmmh..!! samahanini jmn, maybe mm ni mgeni na huyo mtoa mada simfahamu kwa nyuzi zake....nimeona ameuliza tu ss kwann tusimshauri kwa ustaarabu au kumuelewesha kwamba kufanya hivyo kunaashilia hik na hik,

unakuta wengine ndo wanakua halafu kwao hawana watu wa kuongea nao kuhusu hivi vitu, aisee nimeshangaa mmemshambulia hadi sio vizuri.
Mkuu hii ndo jf
 
Mkuu we usijiskie vibaya kwa kushambulia kwao hawa watu mie nasoma coment zao huku natabasamu tu mana wanaonyesha uelewa tofauti wa mitaani ...

Nimependa umejaji kwamba mie nimeuliza tu hili suala lijadiliwe kwa upana....

Wana jf hawanipi tabu kabisa kwa haya wanayosema.....
Kwo ushajua cha kufanya cio
 
Na ndo maana mafangus maminyoo hayaishag maana watu wachafu wanafuga na visivyofugika
 
Hiyo ni sound proof.Inapunguza vibration wakati wa kutoa gas.Sasa unachotaka kufanya ni sawa na kutoa earphone wakati unasikiliza mziki kwenye simu😉
 
Nilikuwa nayo yakutosha na nilikuwa na mpnz wangu kitambo so alininyoa kwa lazima sanaaa but sikupata madhara Ila wakati yanaota mjomba sehemu hiyo huwasha sana.
Zaidi hakuna shida wewe nyoa tuu ila utajiona tofauti sana hasa wakati wa kujichamba baada ya kunya utahisi kama unasafisha kinywa cha mtoto mchanga
 
Zinaitwa bawabu[emoji16][emoji16][emoji16] nyoa hamna shida
 
Kama kwenu mnayaita makata..ma..vi, sasa ukiyanyoa siutajiongezea shughuli ya kuwa unakwenda chooni na kisu....[emoji45] [emoji45] au mimi ndio sijakuelewa vizuri...[emoji2] [emoji2]
Dah ngoja nikalale, maana nimecheka Mimi , sina mbavu yaani...JF hataree tupu.
 
Sijawahi kuzigusa toka zianze and am 35 now sijawah kuhisi kero yoyote zaidi ya kujifanyia usafi wa kawaida mimi ushauri wangu mkuu naomba uziache tuzi zina maana kubwa sana
 
wana jf nadhani wazima mnoo..

Juzi hivi niliandika uzi kuhisu kunyoa nywele za makalio pale kati kati watu wakakoment mnoo wengine wakidhani mimi labda nina element za ushoga .

Ila haya yote wana jf tu wala sikuyatilia maanani....

Waliopinga waliweka hoja zifuatazo

HOJA ZAO:wanasema hii huonyesha uanaume wako bwana sasa ukinyoa unataka kumuonyesha nani ?huoni kama hizo ni katika alama za uanaume?

TIZAMA TUNAWAJIBU:hizi nywele tangu lini zikawa ndo kiashiria cha uanaume?
Kati ya hizi nywele na ndevu zipi zaonekana na watu na pia ikawa zinawaota wanaume tu?

Jibu ni ndevu ..sasa kwa nini isiwe uanaume wako ni ndevu ambazo zamuota mwanaume tu kisha isitoshe zinaonekana hata ukivaa nguo??

Sasa hizi nywele ukivaa nguo au ukivua je zaonekana wakati gani??

Jawabu wakati umevua nguo bila shaka..
Sasa uanaume gani wa kuonyesha wakati umevua nguo kama sio uchafu tu ule??

Sasa munaonyesha kwa namna gani uanaume huo je mnawaonyesha hao wake zenu kwa kuwafunulia au vipi??

Wnasema eti ukinyoa zile wataka azione nani??

Kwani ukifuga wataka azione nani atakaefurahia hzo nywele??

Hamuoni kama hizi nywele sio kiashiria cha uanaume wala uanawake bali zitolewe?

Alafu kama zile ni uanaume mbona za mbele twanyoa?

Uchafu ule ...

WANASEMA TENA ETI:ukinyoa zile ni vipele vinaota...sawa mbona wapo wanaonyoa ndevu na vipele vinawaota na bado wananyoa??

ETI WANASEMA:mwanaume ukitoa zile basi ni katika dalili za kuingiliwa nyuma..

JAWABU:kumbe hizi lengo la kutoa kwake ni kuingiliwa nyuma jamani?

Kwa hvyo wanawake wanazitoa ili waingiliwe nyuma kwa mantiki hii au wanazitoa kama ni kufanya usafi??

Au wanataka kutuambia kwamba kwa vile wanawake wanazitoa basi ndio ruksa ya kuwaingilia nyuma ??

Kama sivyo basi hata mwanaume azitoe pia..
Vipi kichaka kinachozunguka mlango wa kutolea uchafu kisifyekwe??

Wanaume tuacheni uchafu asee sio uanaume ni uchafu ule bhana..

Alafu uanaume gani wa kuwa alama yake ni makalioni tena kati kati??
Sasa ili mtu aamini hufanywi shoga itabidi umfunulie ili aone au??

Kuzitoa kwa wanawake haina maana ndyo ruksa kwaingilia kinyuma bi wanazitoa kwa usafi...

Jamani kwapa linatoa uchafu gani zaidi ya jasho?
Mbona nywele za kwapa tunazitoa kwa kusema uchafu??

Haya kule kunatoa kinyesi vipi tusizitoe wakati kinyesi ni kichafu kuliko kwapa???

Kama sio uchafu kitu gani jamani?????

JAMANI KATIKA WATU WANATABASAMU KWA POVU MIE NAMBA MOJA....

LETENI HOJA ZINGINE SIO KWA HIZI BWANA
 
Mawazo yako yamesababishwa na kunyoa hzo nywele....
Hizo nywele ni muhimu sana ndo maana kiswahili fasa zinaitwa KATA MAVI. SASA WEWE UNAZINYOA MAVI YAKATWE NA NINI
 
Back
Top Bottom