Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Mkuu nashkuru kwa mchango na swali lako pia...

Nakuuliza tu mkuu hivi tunaponyoa nywele za kwapa tunataka kugundua nini???
Jibu swali kwanza..UNATAKA UGUNDUE NINI UKINYOA HIZO NYWELE HUKO NYUMA? Unapata madhara gani usiponyoa???
 
Nywele makwapani na huko chini ni kama vitelezi, huzuia michubuko ya ngozi hasa ukiwa na mwili.
 
Nyoa Bob,Na Fundi mzuri yupo kinondoni mkwajun! Gharama ni bure kbsa! Mida ya kungolews ni usku ndo saluni inafunguliws
 
kweli tunatofautiana juzi kuna mtu aliniuliza wanaofanyaga waxing huwa wanalalaje ilo eneo likiwa linafanyiwa kazi nikamuuliza umetoa wapi iyo kitu akacheka tu sasa uyu mwingine tena mtoa mada uliwaza nini
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unapofanya usafi vizur nyumbani kwako,bila shaka unatarajia wageni.Mimi sipo.
 
Kunyoa ni kawaida tu wala hakuna ubaya, ujue kuna mambo sisi wanaume tunayafanya kuwa magumu kwa kuwa na mtazamo wa ovyo, yaani hunakuta mwanaume una boxer moja tu, halafu kufua ni shida, m,,v,,z..hunyowi kwa kisingizio cha wanaume, hivi ukinyoa hayo madude ndio unakuwa shoga? mnawatesa wenzi wenu hata katika mambo ya faragha, unakuta mtu unatoa harufu mbaya, badilikene kunyoa sehemu za siri hakukufanyi uonekane unafumuliwa marinda. Kufumuliwa marinda ni tabia tu ya mhusika hata kama ungefuga mi.v.z mwili mzima kama ni shoga ni shoga tu. utabeba hata chuma lkn kama ni shoga utachezea nyeti za wenzio tu. tubadirike wengine hata jeans hamfui eti jeans haifuliwi, ujinga mtupu.
 
Huwa najaribu kuangalia majukwaa mengine hasa ya nchi majirani zetu lkn sijawahi kukutana na post za kijinga kama hizi. Ukweli ndugu zangu hizi post msifikiri mnaozisoma ni Watanzania tu. Tubadilikeni jamani
 
zile zina act kama mufler ukijamba sasa ziondoe ione hilo tarumbeta lake ukijamba!
 
Kunyoa ni kawaida tu wala hakuna ubaya, ujue kuna mambo sisi wanaume tunayafanya kuwa magumu kwa kuwa na mtazamo wa ovyo, yaani hunakuta mwanaume una boxer moja tu, halafu kufua ni shida, m,,v,,z..hunyowi kwa kisingizio cha wanaume, hivi ukinyoa hayo madude ndio unakuwa shoga? mnawatesa wenzi wenu hata katika mambo ya faragha, unakuta mtu unatoa harufu mbaya, badilikene kunyoa sehemu za siri hakukufanyi uonekane unafumuliwa marinda. Kufumuliwa marinda ni tabia tu ya mhusika hata kama ungefuga mi.v.z mwili mzima kama ni shoga ni shoga tu. utabeba hata chuma lkn kama ni shoga utachezea nyeti za wenzio tu. tubadirike wengine hata jeans hamfui eti jeans haifuliwi, ujinga mtupu.
"Freedom came my way one day
And I started out of town, yeah!
All of a sudden I saw sheriff John Brown
Aiming to shoot me down,
So I shot - I shot - I shot him down and I say:
If I am guilty I will pay.
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] Nilikuwa nakumbusha kidogo
 
Back
Top Bottom