Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Unyoe unataka kugundua nin...

Mie sinyoi, yakizeeka yananyonyoka yenyewe tu.
 
Hahahahahhaahahaha uuuuuuwiiiiii Mumu mieeee hebu nijichekee niongeze siku si kwa Uzi huu kah!!!
 
Wenyewe wanasema, "ukiona mtu anasafisha chumba, ujue anategemea wageni". Ni hayo tu
 
Kuna mwarabu mmoja anadai ye huwa anazifuga na akiwa safarini anasukaga butu moja ili majambazi yakimdaka yashindwe kumbaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Izo zinasaidia ukijamba ushuzi usilie kwa sauti kubwa yaan kwa kifupi ni kama filter. ..ukizikata tu ujue ata ukijamba ushuzi mdogo utasikika tu hakuna namna
Haa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] watu mna majibu jamani duuu
 
Pole mleta post povu lao lisikuathiri.

Ni sehemu ya usafi kwani ukinyoa nani atajua umenyoa?

Hii husaidia mkeo asipate harufu ya jasho kali anapokufulia boxa hasa kama unachambia karatasi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binjo jamani!
 
Mmmmh..!! samahanini jmn, maybe mm ni mgeni na huyo mtoa mada simfahamu kwa nyuzi zake....nimeona ameuliza tu ss kwann tusimshauri kwa ustaarabu au kumuelewesha kwamba kufanya hivyo kunaashilia hik na hik,

unakuta wengine ndo wanakua halafu kwao hawana watu wa kuongea nao kuhusu hivi vitu, aisee nimeshangaa mmemshambulia hadi sio vizuri.
kauliza utumbo watu wanampa utumbo
 
Back
Top Bottom