Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..
Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..
Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..
Karibuni wadau
HahahahahaHata sifahamu kama ndiyo au hapana mkuu
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahahaha
Ukijamba utatoa sauti kubwaWadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..
Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..
Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..
Karibuni wadau
Unanyoaga ww[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kukiwa na kichaka huko sipati picha mtu akiwa anahara na asijisafishe. Nadhani kila sehemu ya mwili inahitaji kufanyiwa usafi, vinginevyo, mmhhh!Aise nlishawahi kukwangua hzo nywele nlipata upele kunako huo mfereji aise cji kunyoa ,wacha ziwe km kichaka tu
Kunyoa muhimu, naanzaje kunyoa nusu nusu.Unanyoaga ww
Kunyoa muhimu, naanzaje kunyoa nusu nusu.
Mtazamo hasiJamani jamani
Hamna mtazamo mzuri nmepata pivha uwanja ulivyokuwa msafi tuMtazamo hasi