Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Mkuu unaweza nyoa tu, na haina madhara yoyote.
Binafsi nilikuwa sinyoi hata kidogo, na mara nyingi nilikuwa naogopa hasa kauli kama hizi za Wachangiaji hapa Jamvini.

Nimeanza kunyoa baada ya malalamiko ya mke wangu, alikuwa akilalamika mno na nikaona isiwe tabu kwasababu mtu pekee anayeuona utupu wangu hapendi kuniona katika hali ya kuwa na mavinyweleo mengi nimejikuta situnzi hizo nywele na kinyozi mhusika ni yeye tena sehemu zote yaani kuanzia kwapa, chini ya kitovu mbele na hiyo sehemu inayokukwaza mkuu.
Na nimejikuta hata kufuga nywele za kichwani sio mpenzi kapisa maana hata mwenza wangu si mtu wa kufuga minywele.

Haya wanayo andika wanajamvi binafsi nadhani yana akisi kile wakifanyacho ama wafanyiwacho.
 
"Ukiona mtu anafanya usafi heavy nyumbani kwake,basi jua anategemea ugeni"
 
Hongera kwa kunyolewa mkuu, mim huwa najinyoa mwenyewe tu!, huo ujasiri wako nimeukubali aise, ni wa kiwango adimu.
 
Kumbe hata usafi wa mwili wako ni mpaka pale unapokuwa na mgeni?
Unataka kutuambia kuwa unafanyia usafi boxer zako kwakua unakuwa na mgeni?
Unanyoa nywele za kwapa kwasababu unakuwa na mgeni?

Ama nyumba yako huwa safi pale tu unapokuwa na ugeni?

Unaishi na uchafu mpaka pale unapopata ugeni?
 
Hongera kwa kunyolewa mkuu, mim huwa najinyoa mwenyewe tu!, huo ujasiri wako nimeukubali aise, ni wa kiwango adimu.

Siyo Ujasiri Mkuu, ni ile kuheshimu mawazo ya mwenza wangu, maana alianza lalama since tukiwa shule tena O'LEVEL miaka ya 1995 pale Wema ni Chemichemi ya Uzima, akaenda Kilakala nikaenda Ilboru, tukapita The Hill, eo hii tunafamilia kwanini nisijali feelings zake?

Kwanini nimuogope kwenye kuufanyia usafi mwili wangu ambao sehemu kubwa ya maisha yangu umejengwa na yeye?
 
Sawa bro, sasa nimeelewa chanzo cha ujasiri huu.
 
Back
Top Bottom