zamuhalelu
Senior Member
- Oct 5, 2017
- 140
- 138
- Thread starter
- #61
Sisi wa tz bwana hatusomeki kabisa mkuu dahWatanzania wameshavugwa kila jambo wanarihusha na UFIRAJI hata kama mtu una lengo la kutoa elimu ya usafi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wa tz bwana hatusomeki kabisa mkuu dahWatanzania wameshavugwa kila jambo wanarihusha na UFIRAJI hata kama mtu una lengo la kutoa elimu ya usafi tu.
Kwa hvyo na wanawake nao wasitoe waache zikue ili wasipate hzo atharii au??Mungu aliiumba miilili yetu katika hali ya ukamilifu
Hivi vinyweleo havipo hapo kimakosa. Ukitaka kuona imuhimu wake kavikwangue leo alafua baada ya siku tatu utasimulia athari zake
Madai hewa tu ya vijiweniUkitoa hizo unakuwa unatafuta kuliwa
Nakushauri usinyoe kwani zinakatikaga zenyewe.Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..
Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..
Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..
Karibuni wadau
Rafiki yake asha wa mkoa unapotea sana. habari za MZA?JF hainikifu kamwe!
".....kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa "
UNATAKA ugundue nini baada ya kuzinyoa
Kama kwenu mnayaita makata..ma..vi, sasa ukiyanyoa siutajiongezea shughuli ya kuwa unakwenda chooni na kisu....[emoji45] [emoji45] au mimi ndio sijakuelewa vizuri...[emoji2] [emoji2]
Unataka upapendezeshe ili iweje!! Kuna anaekuona!!! Au zinakupa shida!!! Oky sawa hamna ubaya je ukishazinyoa unataka ufanye nini?? Maana ile washel kuipaka mafuta lazima utoe hizo nywele kwanza
kweli magu katunyosha....sio kwa topic hi aiseeee...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]