Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Vyuma vimebana kweli kweli.juzi mwingine kapigilia viatu vya kike na kasema yupo tayari hata kupigilia bikini iwapo atapewa kiasi ili atangaze biashara mkuu.sasa nawaza kwa sauti ikimpendeza itakuaje kama watu watataka na marinda.na je kwenye huo mfereji wa tako hizo nywele atazinyoa kwanza au?_na je mleta mada kuna deal umepeta la kutangaza nguo za kike kama yule jamaa,!
 
Zote ni private hair zinawajibika kunyolewa zinapokuwa zimezidi
Mana unaweza ukafuga uchafu
Alafu kuhusu ishu zingine inakuwa siri ya mtu na mungu wake
Akinyoa za kwake akiacha za kwake
We huzioni na yeye hazioneshi
Na mungu ndiye mwenye kujua zaidi
 
Mkuu nyoa tu huwa zinaota tena kama nywele nyingine
 
Mkuu unaweza nyoa tu, na haina madhara yoyote.
Binafsi nilikuwa sinyoi hata kidogo, na mara nyingi nilikuwa naogopa hasa kauli kama hizi za Wachangiaji hapa Jamvini.

Nimeanza kunyoa baada ya malalamiko ya mke wangu, alikuwa akilalamika mno na nikaona isiwe tabu kwasababu mtu pekee anayeuona utupu wangu hapendi kuniona katika hali ya kuwa na mavinyweleo mengi nimejikuta situnzi hizo nywele na kinyozi mhusika ni yeye tena sehemu zote yaani kuanzia kwapa, chini ya kitovu mbele na hiyo sehemu inayokukwaza mkuu.
Na nimejikuta hata kufuga nywele za kichwani sio mpenzi kapisa maana hata mwenza wangu si mtu wa kufuga minywele.

Haya wanayo andika wanajamvi binafsi nadhani yana akisi kile wakifanyacho ama wafanyiwacho.
Wanaponda sana usikute wananyolewa sana tu halafu wametuliaa
 
Hahah mfereji wa Suez siyo. Hili swala ungejadiliana na mkeo au demu wako anazionaje kama hazitaki akunyoe mwenyewe kama unaujasiri wa kumruhu ashike makalio yako
 
mie nawaza huo mkao wakati wa kunyoa iyo maneno
 
Back
Top Bottom