Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Unataka kutuandikia hapa kuwa tangu uzaliwe hujawahi kata wala kupunguza hivyo vivyweleo?
Hivi kama kupunguza vinyweleo ya kwapani na sehemu ya mbele ni usafi kwanini isiwe hivyo sehemu ya Baja kubwa?

Mbona watu MNA mawazo machafu kiasi hiki!?
point yako ipo tofauti na mleta mada pitia tena uone
 
Unapiga msamba halafu unaweka kioo chini...nawaza tu
Wakati mwingine unatumia rasilimali ulizonazo kwa kuweka karai la chuma watoto wa siku hizi wanaita beseni lenye maji alafu unajipiga chabo wakati unanyoa huku umechuchumaa
 
Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..

Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..

Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..

Karibuni wadau
Kuna Saluni Moja huku Tabata wanatoa huduma ya kunyoa hizo ndevu
 
Tatizo gani mkuu wangu...mana ukisema kunyoa ndo unataka paka mafuta sioo kweli bali waweza paka mafuta na nywele zipooo..

Mfano kichwani twapaka mafuta na nywele zipo

Sasa Mkuu ukipaka mafuta nywele zahuko unataka zimele mete ili chupi ifurahi au?

Na ukianza kupachokoza chokoza uko pataanza kuwasha na pakiwasha doziyake haijawai kumwacha mtu salama.

We chazistawi tu hazitafikambali na ukiwa unaachia vishuz vya moto zitakua zinaungua pole pole zina pungua mkuu.
 
Unashindwa kuzuia ushuz unatoka paaa unaweza kukuzalilisha watu wakajua shoga zipunguze tu sio utoe kipara kabisa ushuz unakuwa hauna break
 
mimi za kifuani zimekuwa nyingi sana zinanikera na jamaa yangu anasema nisizitoe sasa zinakuwa kama za kichwani.zinanimalizia sabuni!
 
Hivi ni kwanini watoto wakike hawana hizi nywele?
 
Back
Top Bottom