Msaidizi Mkuu
Senior Member
- Aug 19, 2020
- 195
- 154
[emoji23] [emoji23] [emoji23]kweli magu katunyosha....sio kwa topic hi aiseeee...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]kweli magu katunyosha....sio kwa topic hi aiseeee...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23]Leo huwenda tukagundua wanaume wengi wanatoa au wanaziacha maana sio kwa mapovu haya asee doooh ....
Huu ndio mwaka wa kumnyoosha huyo magukweli magu katunyosha....sio kwa topic hi aiseeee...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mfanyie surprise babe wako uone..Hizi nywele Sijawai Zion jamani...Hua zipo kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mfanyie surprise babe wako uone..
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji2954][emoji2954][emoji2954]Hizi nywele Sijawai Zion jamani...Hua zipo kweli?
Suprise gani..nimwambie aangalie Kama nina hayo makata ...kinyesiMfanyie surprise babe wako uone..
Jamani..kweli Sijawai Ziona...au nichukue kiooo nijichungulie[emoji16]..maana hata nikishika sizisikii[emoji15][emoji15][emoji15][emoji2954][emoji2954][emoji2954]
SijakuelewaWewe ni me kwani, usijedai na vile vigololi viwili
[emoji3][emoji3][emoji3]Gu Uzi gwa kingese sana guu
Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..
Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..
Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..
Karibuni wadau
Chukua kioo jichungulie, uje utoe ushuhuda hapa!Jamani..kweli Sijawai Ziona...au nichukue kiooo nijichungulie[emoji16]..maana hata nikishika sizisikii