Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Kumbuka makata mavi, yakikata yanabaki na mavi, ili kuepuka kutembea na mavi kwenye nguo ya ndani, fanya hima uyaondoe ila angalia usijikate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula kwanza ndo uje huku kuwasoma watu wenye mambo ya kushangazaHahahha hii mada imenifanya nicheke hadi nimepaliwa na pilau
Hivi vipaumbele vyetu kama taifa tunaendeleaje ?Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..
Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..
Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..
Karibuni wadau
Yeye kuileta hii, anajuwa anamnyolea nani. Wewe kwa nini unataka kujuwa, au ulitaka akunyolee wewe.Watoto wa kike ndio wanazitoa,
Wewe dume zima unamnyolea nani sasa.😀
Mbona wewe humshauri?Mmmmh..!! samahanini jmn, maybe mm ni mgeni na huyo mtoa mada simfahamu kwa nyuzi zake....nimeona ameuliza tu ss kwann tusimshauri kwa ustaarabu au kumuelewesha kwamba kufanya hivyo kunaashilia hik na hik,
unakuta wengine ndo wanakua halafu kwao hawana watu wa kuongea nao kuhusu hivi vitu, aisee nimeshangaa mmemshambulia hadi sio vizuri.
Usafi gani huo, mbuzi wahediWatanzania wameshavugwa kila jambo wanarihusha na UFIRAJI hata kama mtu una lengo la kutoa elimu ya usafi tu.
Mshauri basi na wewe.Kaomba ushauri sio matusi mshaurini anyoe au hayanjolewi
Wamekutosheleza kwa lipi?Sawa mkuu nakubaliana na wewe kabisa hawa wanaosema hazinyolewi bado hawajanitosheleza kwa hoja kabisaaaaaaa
Wee hukupita jeshini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahio ulikaguliwa kinyeo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaache! Yana kazi yake. Jamaa alijaribu kuyaondoa kwa kutumia wembe mkali, badala ya kuondoa akaongeza njia!
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app