Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Watoto wa kike ndio wanazitoa,
Wewe dume zima unamnyolea nani sasa.😀
Haya mawazo ndio zile people zinazo amini mwanaume hatakiwi kuw msafi sana,[emoji706][emoji706]

Guys ishu ya kunyoa nywele za makalio cyo kitu kibaya hata kidogo tatz linakuja ni ishu ya fikra potofu na negativity nyingi...

Ukisem Mwanamke ndio anyoe so what then? Unamaanisha yupo tyr kwa kuingiliwa nyum ya maumbile na kam siyo kwnn kwa mwanaume unahisi hv?( Ujinga mwingi)

Uchafu ni uchafu no matter what & where upo, nasikitika sana napo ona na kijana wa kileo akisupport huu upumbavu

Guys acheni kuwa negative ndio maana jambo hili mnalitafsiri vibaya,damn
 
Siku ukinyoa tu.....utajua kila aina ya popo bawa....yaani wewe ukilala kidogo tu!! Tayari!!....utamlilia nani??

Ukitaka kupona mapema ni kusimulia faster tu ulicho fanyiwa.....lkn ukipiga kimyaaa heee!!...lazima uzoeee!! Yaani ni km umeyakubali....uta-mbwato mpaka ulie pooo!! Yanakuwekea na kizazi kabisa siku utashangaa una zaa ndotoni ili hali weye kidume....na utanyonyesha ivoivo kwa ndoto...

Usifanye kosa hilo la kumnyolea popo bawa...yangu ni hayo.
 
Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..

Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..

Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..

Karibuni wadau
Mkuu usiongee tu na kutupa hasira, tuwekee na hiyo picha yako ikionyesha hizo nywele zinazokukera tukusaidie.
 
km ni ivo basi ulifanganywa sana hao qalikukula bure tu

Wadai chako
Sujawahi kuliwa pasipo ridhaa yangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata huko jeshini sikuwahi fanyiwa hivyo.
 
Usikane kijanja umetamka.....bila kujua kuwa kuna watu humu wamepita jeshini ....tena nikwambie na number kabisaa 823 kj...hawafanyiwi ivo... Hilo ni jeshi lako unalolijua...usichafue jeshi letu tukufu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua nilichokua nazungumza? Na unajua historia yangu? Ko jeshini hawapimi km umeingiliwa kinyume na maumbile? Labda miaka ya zaman, ila mwaka wetu awamu ya kwanza kwa mujibu walipima hilo na mie niliwepo. Nidanganye ili iweje.

Na hiyo campan ya wajeda wa 3 ilikua ni kunipa adhabu tyuuh na sio hilo mlilofikiria nyie. Eti jeshi tukufu msieeeew, nimepita mgambo 3months utanambia nn wee?
 
Umejitahidi basi mana kuna zile fatiki za lazima Afe shoga na unacomment hadi leo basi upo fit kiasi

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..

Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..

Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..

Karibuni wadau
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
 
Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..

Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..

Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..

Karibuni wadau
Inategemea na kazi yako
 
Mkuu unaweza nyoa tu, na haina madhara yoyote.
Binafsi nilikuwa sinyoi hata kidogo, na mara nyingi nilikuwa naogopa hasa kauli kama hizi za Wachangiaji hapa Jamvini.

Nimeanza kunyoa baada ya malalamiko ya mke wangu, alikuwa akilalamika mno na nikaona isiwe tabu kwasababu mtu pekee anayeuona utupu wangu hapendi kuniona katika hali ya kuwa na mavinyweleo mengi nimejikuta situnzi hizo nywele na kinyozi mhusika ni yeye tena sehemu zote yaani kuanzia kwapa, chini ya kitovu mbele na hiyo sehemu inayokukwaza mkuu.
Na nimejikuta hata kufuga nywele za kichwani sio mpenzi kapisa maana hata mwenza wangu si mtu wa kufuga minywele.

Haya wanayo andika wanajamvi binafsi nadhani yana akisi kile wakifanyacho ama wafanyiwacho.
Ausio mkuu
 
Mmmmh..!! samahanini jmn, maybe mm ni mgeni na huyo mtoa mada simfahamu kwa nyuzi zake....nimeona ameuliza tu ss kwann tusimshauri kwa ustaarabu au kumuelewesha kwamba kufanya hivyo kunaashilia hik na hik,

unakuta wengine ndo wanakua halafu kwao hawana watu wa kuongea nao kuhusu hivi vitu, aisee nimeshangaa mmemshambulia hadi sio vizuri.
fact
 
Back
Top Bottom