Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Njoo nikunyoe usipate shida tatizo litakuwa kwako umesema kwenu ndio makata mavi sio ukiyanyoa itabidi uingie chooni na [emoji418] wa kukatia hayo mavi baada ya makata mavi kuyakata.

Kama sivyo utakunya marefu bila shaka maana makata mavi yatakuwa ayajaota hayo makata mavi kwani kwenu wapi huko kwenye hayo makata mavi?

Tanzania kubwa hii na tamaduni tofauti sikuulizi kama mnajitawaza hapa nauliza hayo makata mavi [emoji38]
 
Weka picha tuone zilivyokaa mi ni kinyozi wa hizo sehemu
 
Hivi dume la simba linapotaka kunyoa zile nywele za kuonesha kwamba yeye ndio dume lilikomaa maana yake nini? Linataka mgogo wake uwe laini kama jike liweze kutamaniwa kupandwa na madume mengine.
Mie hii Titicomb bado sijaelewa kabisa yani labda nikuulize tu...

Hivi wanaume wote tukivaa nguo ni yupi utamjua kwamba huyu anazo au huyu kanyoa ,hivi utawajua vipi ????
 
".....kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa "

UNATAKA ugundue nini baada ya kuzinyoa au ndio unatangaza mapenzi ya kinyume na maumbile hapa??
Mkuu nashkuru kwa mchango na swali lako pia...

Nakuuliza tu mkuu hivi tunaponyoa nywele za kwapa tunataka kugundua nini???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mpk machozi Loooh
 
Izo zinasaidia ukijamba ushuzi usilie kwa sauti kubwa yaan kwa kifupi ni kama filter. ..ukizikata tu ujue ata ukijamba ushuzi mdogo utasikika tu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…