Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Mkuu,
Papa amezingatia uhuru wenu na imekubalika mkabarikiwa huko
 
Kuna topic zingine ukizisoma unaona aibu watu wanavozalilisha uanaume,hizo ni itikadi za kishoga
Mwanaume rijali huwezi kuwaza habari za nywele za haja kubwa
 
kuna ubaya na uzuri wake,kwanza ubaya wake ni lazima mtu mwingine ndio akunyoe maana wewe huwezi kujinyoa,hivyo ni lazima mkeo au mwanamke wako afanye hivyo,pia hiyo semu itakuwasha sana ukiinyoa,sasa kama hutawadhi vizuri basi hizo nywele zitashika kinyesi,na huenda ukakaribisha maradhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo nywele we nyoa para tu maana style ya kiduku itapita....
 
Hakuna ubaya mkuu maana zikikaa na zikawa nyingi kujisafisha uchafu unaweza nasia kwenye zile nywele.
Pia hizo nywele hutengeneza favourable conditions kwa opportunistic bacterias kama Candida albicans kukua na fungal infection kukua pia kwa sababu ya unyevu utaosababishwa na hizo nywele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…