joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hamna kitu kama hiko kama mkataba mliingia watu wawili utavunjwa na watu wawili,hata kama una uwezo wa kununua mkataba lazima timu inayotaka kumsaili iandike barua nasi kujifichaficha ,si unaona Enzo kwa Chelsea, Chelsea wamepeleka barua kwa Benifica.Barca wakati wanaweka ile release clause ya Neymar walijua ni pesa nyingi ambayo hakuna timu ingeweza kuufikia
Kama ni kweli Yanga waliweka kipengele hicho kwa Fei kwa pesa ile, watakua nao walijua Fei anaipenda Yanga hawezi nunua mkataba wake tena dirisha dogo.
Issues si hela bali ni kufuata procedure wenzetu ulaya hawawezi kufanya uhuni kama huu,wanajua taratibu za kufuata.