Kuna ubaya wowote Feisal kwenda Azam kutafuta hela ili ajenge kesho yake?

Hamna kitu kama hiko kama mkataba mliingia watu wawili utavunjwa na watu wawili,hata kama una uwezo wa kununua mkataba lazima timu inayotaka kumsaili iandike barua nasi kujifichaficha ,si unaona Enzo kwa Chelsea, Chelsea wamepeleka barua kwa Benifica.

Issues si hela bali ni kufuata procedure wenzetu ulaya hawawezi kufanya uhuni kama huu,wanajua taratibu za kufuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…