Msibani tukeshe na karata, kitoko na embassy
Alitaka rafiki yake amuone anajali na kutoa kampani, kumbe mtu mwenyewe kaenda huku kachana vindevu vyake na kuvipaka super black, kavaa raba nyeupe na kakoti kake hataki vichafuke na pia anataka usiku apate muda wa kuchat na kupigiana simu vibebi vyake wasimuliane upuuz mwiingi ndo apate usingizi alale.Sasa nini kimekuwahisha msibani kama kulala huwezi? Ungetenga siku yako yenye haina hizo ghasia ukaebda kuwaona na kuondoka basi.
Si urudi tu huko ulikotokaMaisha yetu ya kitanzania wote tunayafahamu. Nimemsindikiza rafiki yangu kwenye msiba wa ndugu yake wa karibu na mazishi ni kesho kutwa. Nikiangalia kwa haraka haraka kwa udogo wa nyumba msiba ulipo na idadi ya waombolezaji ambao wengi wao wanaonekana watalala nataka nimshauri huyu rafiki yangu tutafute mapema vyumba vya kulala kwenye hotel ya kawaida au lodge iliyo jirani ili kuepuka kukosa mahali pa kulala hapa msibani au kubanana kulala kwenye mikeka, ndani ya gari, kwenye masofa, magodoro tupu machache yaliyopo n.k. pia kuepuka kushambuliwa na mbu, kuibiwa begi au kuchomolewa vitu kwenye begi n.k. maana kwenye misiba hayo mambo utokea sana. Ni nini maoni yako wewe mwanaJF kama kuna ubaya wowote wa kutafuta chumba nje ya nyumba msiba ulipo au ni lazima kulala msibani?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hawa ni wale msiban wananata, muda wote ear phone na kukaa kwa mbaali anawazoom wengineSi urudi tu huko ulikotoka
Msiba ni kushiriki na wafiwa, kama huwezi kushiriki nao kwa kulala ni bora ungeenda siku ya kuzika na kuondoka.
Kila mmoja akiwa na huo utaratibu wa kutafuta pa kulala nje ya msiba tutatengeneza jamii ya aina gani?
Umesahau Sungura kwa Dar na Highlife kwa Moshi na ArushaMsibani tukeshe na karata, kitoko na embassy
Unashindwa kuvimilia kitu cha siku moja tu, si ungebakia huku.Alitaka rafiki yake amuone anajali na kutoa kampani, kumbe mtu mwenyewe kaenda huku kachana vindevu vyake na kuvipaka super black, kavaa raba nyeupe na kakoti kake hataki vichafuke na pia anataka usiku apate muda wa kuchat na kupigiana simu vibebi vyake wasimuliane upuuz mwiingi ndo apate usingizi alale.
Msiban ni kulala popote, kula chochote, kushiriki kazi yoyote bila kujali inakuchafua au inakuacha msafi.
Unashindwa kuvimilia kitu cha siku moja tu, si ungebakia huku.
Kwani msiba umekushikia kalamu? Sema tu uandishi siyo taaluma yako!Kumbuka tupo msibani mkuu. Vinginevyo ningeandika vizuri tu.
Ubaya upo umeenda msibani kua sehemu ya faraja kwa rafiki ako au ile familia manake kipindi chote cha kuzika utakua nayo kama ungetaka kulala pasipo na mbu ungekaa tu kwako utoe salamu za pole sasa nini maana ya kusindikiza msibani.Maisha yetu ya kitanzania wote tunayafahamu. Nimemsindikiza rafiki yangu kwenye msiba wa ndugu yake wa karibu na mazishi ni kesho kutwa. Nikiangalia kwa haraka haraka kwa udogo wa nyumba msiba ulipo na idadi ya waombolezaji ambao wengi wao wanaonekana watalala nataka nimshauri huyu rafiki yangu tutafute mapema vyumba vya kulala kwenye hotel ya kawaida au lodge iliyo jirani ili kuepuka kukosa mahali pa kulala hapa msibani au kubanana kulala kwenye mikeka, ndani ya gari, kwenye masofa, magodoro tupu machache yaliyopo n.k. pia kuepuka kushambuliwa na mbu, kuibiwa begi au kuchomolewa vitu kwenye begi n.k. maana kwenye misiba hayo mambo utokea sana. Ni nini maoni yako wewe mwanaJF kama kuna ubaya wowote wa kutafuta chumba nje ya nyumba msiba ulipo au ni lazima kulala msibani?
Kabisa hiki ulichokisema kina maana sana. Mwenye masikio na asikie.Msiba ni kushiriki na wafiwa, kama huwezi kushiriki nao kwa kulala ni bora ungeenda siku ya kuzika na kuondoka.
Kila mmoja akiwa na huo utaratibu wa kutafuta pa kulala nje ya msiba tutatengeneza jamii ya aina gani?
Anhaa polee kwa msiba mkuu.Kumbuka tupo msibani mkuu. Vinginevyo ningeandika vizuri tu.
Msiba usiwe mateso kwa wengine! Siku nikifa nitakodi mahema na magodoro watu wasipate shidaMaisha yetu ya kitanzania wote tunayafahamu. Nimemsindikiza rafiki yangu kwenye msiba wa ndugu yake wa karibu na mazishi ni kesho kutwa.
Nikiangalia kwa haraka haraka kwa udogo wa nyumba msiba ulipo na idadi ya waombolezaji ambao wengi wao wanaonekana watalala nataka nimshauri huyu rafiki yangu tutafute mapema vyumba vya kulala kwenye hotel ya kawaida au lodge iliyo jirani ili kuepuka kukosa mahali pa kulala hapa msibani au kubanana kulala kwenye mikeka, ndani ya gari, kwenye masofa, magodoro tupu machache yaliyopo n.k.
Pia kuepuka kushambuliwa na mbu, kuibiwa begi au kuchomolewa vitu kwenye begi n.k. maana kwenye misiba hayo mambo utokea sana.
Ni nini maoni yako wewe mwanaJF kama kuna ubaya wowote wa kutafuta chumba nje ya nyumba msiba ulipo au ni lazima kulala msibani?