Kuna ubaya wowote kulala hotelini au lodge badala ya kulala msibani pasipo na malazi ya kutosha?

Hatimaye tuliamua kuchukua vyumba kwenye lodge iliyo jirani na msiba. Pale tulikuta watu wengi tu wa msibani ambao pia wamechukua vyumba. Pia kupitia mazungumzo ya tulioweza kuongea nao inaonekana wengi walitamani sana kupata sehemu nzuri ya kulala ila tatizo likawa kwenye kumudu gharama za lodge.

Bahati mbaya sana baada ya kuwa tumekwenda lodge kulala mvua kiasi ilinyesha na kuvuruga ulalaji kwa wale waombolezaji waliolazimika kulala kwenye mikeka maana hata mahema yaliyopo ni machache na humo humo kwenye mahema chini palikuwa na maji kutokana na waombolezaji kumwaga maji ovyo wakati wa kunawa kabla na baada ya chakula.
 
Haya sasa unaona majanga hayo. Majirani wenyewe msiba ukitokea watashiriki kikamilifu kila kitu ila ukifika muda wa kulala wanaenda kwenye nyumba zao. Wewe mtu baki tu haufahamiki hata na ndugu wengi unataka uteseke kulala kwenye maji maji, kelele e.t.c
 
Kingine kilichojitokeza hapa msibani nimeshuhudia baadhi ya wafiwa waking'ang'anizwa kununua nguo za sare kwa ajili ya msiba. Inavyoonekana wengi wa hawa ndugu hawana uwezo wa kununua sare hizo.

My question is why should such a one day event be used to force the people who have been bereaved of their relatives to unnecessarily spend a lot of money on clothes just for the sake of being differentiated from the rest? To me this seems to be illogical.
 
Kingine kilichojitokeza hapa msibani nimeshuhudia baadhi ya wafiwa waking'ang'anizwa kununua nguo za sare kwa ajili ya msiba. Inavyoonekana wengi wa hawa ndugu hawana uwezo wa kununua sare hizo.

My question is why should such a one day event be used to force the people who have been berieved of their relatives to unnecessarily spend a lot of money on clothes just for the sake of being differentiated from the rest? To me this seems to be illogical.
Hapo kwenye Kingereza naomba tafsiri ili Nitoe maono yangu, Inaonekana kuna pointi hapo!
 
Nashangaa tu wafiwa kulazimishwa kununua sare za kuvaa msibani siku ya mazishi kwa tukio la siku moja tu wakati ikionekana kabisa kuwa baadhi yao hawana uwezo wa kulipia sare ambayo gharama yake wanasema ni 40,000/= pamoja na mashono yake. Eti iwe rahisi kuwatofautisha na wahudhuriaji wengine.
 
Kingine kilichojitokeza hapa msibani nimeshuhudia baadhi ya wafiwa waking'ang'anizwa kununua nguo za sare kwa ajili ya msiba. Inavyoonekana wengi wa hawa ndugu hawana uwezo wa kununua sare hizo.

My question is why should such a one day event be used to force the people who have been berieved of their relatives to unnecessarily spend a lot of money on clothes just for the sake of being differentiated from the rest? To me this seems to be illogical.
Huu mtindo wa kulazimishana sare za msiba uko sana Mikoani hasa mjini,
Utakuta tisheti na khanga, watu wanalazimishana kununua aaah
 
Maisha yetu ya kitanzania wote tunayafahamu. Nimemsindikiza rafiki yangu kwenye msiba wa ndugu yake wa karibu na mazishi ni kesho kutwa.

Nikiangalia kwa haraka haraka kwa udogo wa nyumba msiba ulipo na idadi ya waombolezaji ambao wengi wao wanaonekana watalala nataka nimshauri huyu rafiki yangu tutafute mapema vyumba vya kulala kwenye hotel ya kawaida au lodge iliyo jirani ili kuepuka kukosa mahali pa kulala hapa msibani au kubanana kulala kwenye mikeka, ndani ya gari, kwenye masofa, magodoro tupu machache yaliyopo n.k.

Pia kuepuka kushambuliwa na mbu, kuibiwa begi au kuchomolewa vitu kwenye begi n.k. maana kwenye misiba hayo mambo utokea sana.

Ni nini maoni yako wewe mwanaJF kama kuna ubaya wowote wa kutafuta chumba nje ya nyumba msiba ulipo au ni lazima kulala msibani?
Nakupa pongezi kwa kuwa na fikra kama hizo nakuona kama ni mtu unaeishi nje ya nchi ,maana wabongo fikra hizo za kujiongeza hawana ,niko pamoja na wewe sana sana kama una uwezo unachukua hoteli ikifika usiku unajikata kimya kimya bila kuaga unawaibukia asubuhi na mikate kwa wingi kwa ajili ya breakfast uko fresh umepunzika vizuri umekoga uko fresh ,kulala hapo msibani kulala chini kdg naona ngumu kwa upande wangu ,huyo rafiki yako atakushukuru daima.
 
Nashangaa tu wafiwa kulazimishwa kununua sare za kuvaa msibani siku ya mazishi kwa tukio la siku moja tu wakati ikionekana kabisa kuwa baadhi yao hawana uwezo wa kulipia sare ambayo gharama yake wanasema ni 40,000/= pamoja na mashono yake. Eti iwe rahisi kuwatofautisha na wahudhuriaji wengine.
Hizo ni shobo za wanawaake tena wajinga au ni business any way inafaa mfiwa kusaidiwa na kumfariji na sio kumtia dhiki ,sisi waislamu hatuna hizo longo longo sana kutiana dhiki na hasara mtu akifa ni kumsitiri tu .
 
Kingine kilichojitokeza hapa msibani nimeshuhudia baadhi ya wafiwa waking'ang'anizwa kununua nguo za sare kwa ajili ya msiba. Inavyoonekana wengi wa hawa ndugu hawana uwezo wa kununua sare hizo.

My question is why should such a one day event be used to force the people who have been berieved of their relatives to unnecessarily spend a lot of money on clothes just for the sake of being differentiated from the rest? To me this seems to be illogical.
Kwa hizo mambo hapo zinazoendelea usijisumbue kulala msibani.Tafuta lodge ukate mbonji. Haiwezekani uanze kufosi watu wanunue sare wakati hali zao sio rafiki kiuchumi.
Kuna events mimi nikienda lazima pesa iwepo hasa msibani, harusi au sherehe sherehe.. watu wakizingua au mazingira sio rafiki kibunda kipo unaenda kulala sehemu salama.
 
Kingine kilichojitokeza hapa msibani nimeshuhudia baadhi ya wafiwa waking'ang'anizwa kununua nguo za sare kwa ajili ya msiba. Inavyoonekana wengi wa hawa ndugu hawana uwezo wa kununua sare hizo.

My question is why should such a one day event be used to force the people who have been berieved of their relatives to unnecessarily spend a lot of money on clothes just for the sake of being differentiated from the rest? To me this seems to be illogical.
Mkuu poleni na msiba ila kiukweli hapo ulipoandika kingereza nimejitahidi kusoma ila nimeishia kupata kizunguzungu na vile niko na furaha ya mshahara wangu ndiyo kabisa sijaelewa kitu.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ubaya mkuu. Nenda kalale penye usalama asubuhi unarudi msibani
 
Nashangaa tu wafiwa kulazimishwa kununua sare za kuvaa msibani siku ya mazishi kwa tukio la siku moja tu wakati ikionekana kabisa kuwa baadhi yao hawana uwezo wa kulipia sare ambayo gharama yake wanasema ni 40,000/= pamoja na mashono yake. Eti iwe rahisi kuwatofautisha na wahudhuriaji wengine.
Kwani huyo aliekufa ana status gan kwenye jamii mpaka ndugu wajitofautishe na waombolezaji wengine?
 
Back
Top Bottom