Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
100%Msiba ni kushiriki na wafiwa, kama huwezi kushiriki nao kwa kulala ni bora ungeenda siku ya kuzika na kuondoka. Kila mmoja akiwa na huo utaratibu wa kutafuta pa kulala nje ya msiba tutatengeneza jamii ya aina gani?
Kabisa chief haya mambo ya kwenda kulala kwa kujibana bana huku ukiumia kwamba uonekane mtu safi kwa watu kumbe ndani moyoni unaumia ni mbaya sana hii.Msiba usiwe mateso kwa wengine! Siku nikifa nitakodi mahema na magodoro watu wasipate shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sasa unaona majanga hayo. Majirani wenyewe msiba ukitokea watashiriki kikamilifu kila kitu ila ukifika muda wa kulala wanaenda kwenye nyumba zao. Wewe mtu baki tu haufahamiki hata na ndugu wengi unataka uteseke kulala kwenye maji maji, kelele e.t.cHatimaye tuliamua kuchukua vyumba kwenye lodge iliyo jirani na msiba. Pale tulikuta watu wengi tu wa msibani ambao pia wamechukua vyumba. Pia kupitia mazungumzo ya tulioweza kuongea nao inaonekana wengi walitamani sana kupata sehemu nzuri ya kulala ila tatizo likawa kwenye kumudu gharama za lodge.
Bahati mbaya sana baada ya kuwa tumekwenda lodge kulala mvua kiasi ilinyesha na kuvuruga ulalaji kwa wale waombolezaji waliolazimika kulala kwenye mikeka maana hata mahema yaliyopo ni machache na humo humo kwenye mahema chini palikuwa na maji kutokana na waombolezaji kumwaga maji ovyo wakati wa kunawa kabla na baada ya chakula.
Kingine kilichojitokeza hapa msibani nimeshuhudia baadhi ya wafiwa waking'ang'anizwa kununua nguo za sare kwa ajili ya msiba. Inavyoonekana wengi wa hawa ndugu hawana uwezo wa kununua sare hizo.Haya sasa unaona majanga hayo. Majirani wenyewe msiba ukitokea watashiriki kikamilifu kila kitu ila ukifika muda wa kulala wanaenda kwenye nyumba zao. Wewe mtu baki tu haufahamiki hata na ndugu wengi unataka uteseke kulala kwenye maji maji, kelele e.t.c
Hapo kwenye Kingereza naomba tafsiri ili Nitoe maono yangu, Inaonekana kuna pointi hapo!Kingine kilichojitokeza hapa msibani nimeshuhudia baadhi ya wafiwa waking'ang'anizwa kununua nguo za sare kwa ajili ya msiba. Inavyoonekana wengi wa hawa ndugu hawana uwezo wa kununua sare hizo.
My question is why should such a one day event be used to force the people who have been berieved of their relatives to unnecessarily spend a lot of money on clothes just for the sake of being differentiated from the rest? To me this seems to be illogical.
Nashangaa tu wafiwa kulazimishwa kununua sare za kuvaa msibani siku ya mazishi kwa tukio la siku moja tu wakati ikionekana kabisa kuwa baadhi yao hawana uwezo wa kulipia sare ambayo gharama yake wanasema ni 40,000/= pamoja na mashono yake. Eti iwe rahisi kuwatofautisha na wahudhuriaji wengine.Hapo kwenye Kingereza naomba tafsiri ili Nitoe maono yangu, Inaonekana kuna pointi hapo!
Hata kijijini, ikifikaa SAA 4 usiku wanarudi makwao, alfajiri wanaenda tena msibaniSasahivi naona wanaolala msibani ni ndugu wa karibu tu, hata majirani wanakaa ikifika saa nne hao wanajikataa
Huu mtindo wa kulazimishana sare za msiba uko sana Mikoani hasa mjini,Kingine kilichojitokeza hapa msibani nimeshuhudia baadhi ya wafiwa waking'ang'anizwa kununua nguo za sare kwa ajili ya msiba. Inavyoonekana wengi wa hawa ndugu hawana uwezo wa kununua sare hizo.
My question is why should such a one day event be used to force the people who have been berieved of their relatives to unnecessarily spend a lot of money on clothes just for the sake of being differentiated from the rest? To me this seems to be illogical.
Nakupa pongezi kwa kuwa na fikra kama hizo nakuona kama ni mtu unaeishi nje ya nchi ,maana wabongo fikra hizo za kujiongeza hawana ,niko pamoja na wewe sana sana kama una uwezo unachukua hoteli ikifika usiku unajikata kimya kimya bila kuaga unawaibukia asubuhi na mikate kwa wingi kwa ajili ya breakfast uko fresh umepunzika vizuri umekoga uko fresh ,kulala hapo msibani kulala chini kdg naona ngumu kwa upande wangu ,huyo rafiki yako atakushukuru daima.Maisha yetu ya kitanzania wote tunayafahamu. Nimemsindikiza rafiki yangu kwenye msiba wa ndugu yake wa karibu na mazishi ni kesho kutwa.
Nikiangalia kwa haraka haraka kwa udogo wa nyumba msiba ulipo na idadi ya waombolezaji ambao wengi wao wanaonekana watalala nataka nimshauri huyu rafiki yangu tutafute mapema vyumba vya kulala kwenye hotel ya kawaida au lodge iliyo jirani ili kuepuka kukosa mahali pa kulala hapa msibani au kubanana kulala kwenye mikeka, ndani ya gari, kwenye masofa, magodoro tupu machache yaliyopo n.k.
Pia kuepuka kushambuliwa na mbu, kuibiwa begi au kuchomolewa vitu kwenye begi n.k. maana kwenye misiba hayo mambo utokea sana.
Ni nini maoni yako wewe mwanaJF kama kuna ubaya wowote wa kutafuta chumba nje ya nyumba msiba ulipo au ni lazima kulala msibani?
Hizo ni shobo za wanawaake tena wajinga au ni business any way inafaa mfiwa kusaidiwa na kumfariji na sio kumtia dhiki ,sisi waislamu hatuna hizo longo longo sana kutiana dhiki na hasara mtu akifa ni kumsitiri tu .Nashangaa tu wafiwa kulazimishwa kununua sare za kuvaa msibani siku ya mazishi kwa tukio la siku moja tu wakati ikionekana kabisa kuwa baadhi yao hawana uwezo wa kulipia sare ambayo gharama yake wanasema ni 40,000/= pamoja na mashono yake. Eti iwe rahisi kuwatofautisha na wahudhuriaji wengine.
Kwa hizo mambo hapo zinazoendelea usijisumbue kulala msibani.Tafuta lodge ukate mbonji. Haiwezekani uanze kufosi watu wanunue sare wakati hali zao sio rafiki kiuchumi.Kingine kilichojitokeza hapa msibani nimeshuhudia baadhi ya wafiwa waking'ang'anizwa kununua nguo za sare kwa ajili ya msiba. Inavyoonekana wengi wa hawa ndugu hawana uwezo wa kununua sare hizo.
My question is why should such a one day event be used to force the people who have been berieved of their relatives to unnecessarily spend a lot of money on clothes just for the sake of being differentiated from the rest? To me this seems to be illogical.
Thread closed.Msiba ni kushiriki na wafiwa, kama huwezi kushiriki nao kwa kulala ni bora ungeenda siku ya kuzika na kuondoka. Kila mmoja akiwa na huo utaratibu wa kutafuta pa kulala nje ya msiba tutatengeneza jamii ya aina gani?
Upo sahihi kabisa kwa tuliohudhuria misiba ya vijijini.Hata kijijini, ikifikaa SAA 4 usiku wanarudi makwao, alfajiri wanaenda tena msibani
Mkuu poleni na msiba ila kiukweli hapo ulipoandika kingereza nimejitahidi kusoma ila nimeishia kupata kizunguzungu na vile niko na furaha ya mshahara wangu ndiyo kabisa sijaelewa kitu.Kingine kilichojitokeza hapa msibani nimeshuhudia baadhi ya wafiwa waking'ang'anizwa kununua nguo za sare kwa ajili ya msiba. Inavyoonekana wengi wa hawa ndugu hawana uwezo wa kununua sare hizo.
My question is why should such a one day event be used to force the people who have been berieved of their relatives to unnecessarily spend a lot of money on clothes just for the sake of being differentiated from the rest? To me this seems to be illogical.
Kwani huyo aliekufa ana status gan kwenye jamii mpaka ndugu wajitofautishe na waombolezaji wengine?Nashangaa tu wafiwa kulazimishwa kununua sare za kuvaa msibani siku ya mazishi kwa tukio la siku moja tu wakati ikionekana kabisa kuwa baadhi yao hawana uwezo wa kulipia sare ambayo gharama yake wanasema ni 40,000/= pamoja na mashono yake. Eti iwe rahisi kuwatofautisha na wahudhuriaji wengine.