Ndiyo hivyo mkuu. Hadi kwenye misiba mfumo wa kibepari umesimika mirija yake ya kibiashara hata kwenye mambo ambayo siyo ya lazima.Kwani huyo aliekufa ana status gan kwenye jamii mpaka ndugu wajitofautishe na waombolezaji wengine?
1. Je, ni sahihi kwa mwenyeji wa msiba kama nyumba yake haitoshi waombolezaji wote kulala akiwatafutia lodge/hotel ya jirani na kwake na kuwalipia wageni wake anaowaheshimu sana waweze kulala hapo?Kuna siku watu watakuja kwako Msibani na wakalala loji wakatoka kwako kwa sababu hizo halafu wakaja asubuhi. Nadhani utaleta hapa jibu utakuwa umeona Kama Ni sahihi wao kwenda kulala loji ama sio sahihi
Sasa wakija inabidi uwaandalie space zao za kujiegesha acha wenyeji bora wakose sehem kuna siku nilienda ktk msiba wa rafiki yangu kizuri si walevi so tukateka eneo letu akatuletea mashuka ila kiukweli hatukulala ni pombe adi majogooKuna siku watu watakuja kwako Msibani na wakalala loji wakatoka kwako kwa sababu hizo halafu wakaja asubuhi. Nadhani utaleta hapa jibu utakuwa umeona Kama Ni sahihi wao kwenda kulala loji ama sio sahihi
Ameenda msibani afu alale hotelini/ lodge haipendezi kabisa.