Kuna Ubaya Wowote?..

Hilo nalo lipo sana dearest. Akiambiwa "mi jana nimemchapa mama nanii mabao akatia akili" nae anaenda kufanya praktiko kwake. Hawachanganyi na za kwao. . .wanasomba somba tu.

Mie kauvivu tu nadhani dearest. . .Ila nipo.

Nafurahi na sisi tumewashtukia, tunawasaidia kuchanganya na za kwetu...lol....!

Ka-uvivu kasizidi tu dearest!
 
Hapa mbona nina wasi wasi kuwa mtu atakuwa anapendwa kwa 'kuwa kichwa cha nyumba' tu basi...and the subsequent responsibilities ya kuwa 'kichwa cha nyumba si tunazijua wajameni?

Mi sitaki namna hiyo asilani:shock:

"subsequent responsibilities"....pheeewww..haya bana, thx kwa ukumbusho....
naendelea kuwa msomaji wa mdahalo huu....


...lol....ati wa'wake ndio vichwa,....u beijing umewazidi nanyi, komaeni sasa.
mnapapurana kidogo mara unamsikia mwanamke, " kwenda mwanakwenda, sishindwi lea mwanangu mie!"


....baada ya like nilokugongea, tafadhali pokea makofi (clap! clap!) na standing ovation yangu bana...


...hehe..e bana weee...umeshusha nondo ya maana hapo..." are they real?"...au nao ni usanii tu?

raha ya mwanaumme ni kuwa mpiganaji bwana
familia ikikuangalia wafeel kweli kuna kidume ndani

...hiyo ndio definition yako ya mume,...i bet tafsiri ya Mwj1, Lizzy, et al ni tofauti
kidogo na wewe....


....dahh, Mnyam hatari karibu sana MMU,....unabondelea misumari ya utosi...
najiskia raha kukusoma, keep it up man...
 


Nyamayao aksante kwa kuchangia. Ni kweli usemayo lakini maandiko yako ni kama vile umekata tamaa kuwa hakuna ever, hakuna anayeweza kuaminika katika hili. Hivi ni kweli kuwa hakuna kabisa au haiwezekani kabisa kwa mwanamke kumpata mwlanaume anayestahili kuitwa au kufanywa kichwa cha nyumba no matter the definition?
Hivi ni kweli kwua mapenzi yote yanastahili kulala jicho moja wazi? au kuingia mguu mmoja nje? kweli hakuna wanaostahili kuaminiwa na kuaminika?

If this is the kind of love life we are living katika dunia hii mtanifanya nikate tamaa ya maisha ya mahusiano na kuwaona wote mlioko kwenye mahusiano wasanii wa kaole! Plz
 

Hahaha Dada hata usiwe na shaka, niko katika mikono salama mamito!


FL1 kusoma hujui hata kuangalia picha?obviously mmewe alikuwa hajarudi na bar zishafungwa!

Kwa nini usiwaze kuwa nlikuwa nimetoka kuliwazwa kiasi cha kuanza kufikiria kumvisha crown??!
 


nyamayao hiyo definition yako ya kichwa cha nyumba NDIO niliyoimaanisha mimi.........kuwa kama unampata mtu anayejua wajibu wake kama mume, mpenzi na baba kwa nini usimpe heshma yake na kumruhusu awe mfalme wa maisha yako? why wacwac usokuwa na maana? kujitilisha presha bure!

Hayo ya ATM, sijui cheque book yameletwa na post ya Babu DC tu kama caution but maana halisi ya mada hii ilikuwa ni hapo.
 

Aksabte Kongosho.........lol jamani tusisahau....Mkate mwake chai wapendwa!
 
mbona ni uzuri mtupu! hakuna ubaya wanaume tulio wengi tukipewa heshima zetu na sisi tunaoza kabisa juu yenu! na hata wakina macho kodo hapa ndo husema tumelishwa limbwata kumbe mtoto anjua kusogeza kete,mtoto mashalah! utadhani kazaliwa Tanga
 
Kuna ubaya, hasa ukiwa legelege atakupanda kichwani.
Hahahah aksante Da mdogo, supposed huko legelege na ulonae si wa kukupanda kichwani? Au hakuna mpenzi wa kweli?

Kuna mtu alishawahiandika haya, nanukuu
..."Life is about trusting your feelings and taking chances, loosing and finding happiness, appreciating the memories and learning from the past mistakes..." mwisho wa kunukuu.

Sasa kama tutaishi maisha haya ya mahusiano kwa mashaka na tahadhari kubwa hivi....... tutatrust vipi feelings zetu, tutatakije chances, tutaexperience vipi having and loosing happiness, je ni wapi tutapata good memories za kucherish kama kila siku twaishi na what ifs kibao kichwani? na je tusipojiachia ili life itake mkondo wake past mistakes tutazipataje ili kulearn from them?? maana kuwa too careful kunawezakuzuia usimake mistakes ati. hahahahha

Hapa nakiri kuchanganyikiwa mie ah..... bora lakini...................
 

My dia kama Mungu amekupa mume wa hivyo jiachie bibi tena ujibwage, ya nini kupata presha na maisha yenyewe mafupi haya!

Ila lazima uhakikishe ni mume na ni mwanaume na uridhike kuwa yuko komitedi.
 
mbona ni uzuri mtupu! hakuna ubaya wanaume tulio wengi tukipewa heshima zetu na sisi tunaoza kabisa juu yenu! na hata wakina macho kodo hapa ndo husema tumelishwa limbwata kumbe mtoto anjua kusogeza kete,mtoto mashalah! utadhani kazaliwa Tanga

Hahah kajoli twambie bwana. raha ya penzi upendwe, uenziwe, utimiziwe pepo ya dunia au sio!? Mashallah!

Haha siku hizi bana hata sie wapalestina tunajua na tunayo mapenzi bana.....dunia kijiji ati!
 
My dia kama Mungu amekupa mume wa hivyo jiachie bibi tena ujibwage, ya nini kupata presha na maisha yenyewe mafupi haya!

Ila lazima uhakikishe ni mume na ni mwanaume na uridhike kuwa yuko komitedi.
Kbd Dada yangu, uko sahihi kabisa mamii!
 
Kbd Dada yangu, uko sahihi kabisa mamii!

Wajua haina maana ya kuishi na mtu kimachale machale au sijui mguu nje na mwingine ndani. Ya nini kuishi na mtu usiyemuamini??? Mi sitaki kulala jicho moja wazi au kuwa na maisha ya siri siri.

Nitakapo amua kusema 'I do' basi nitakua nimeshajiridhisha kua ni mwanaume na ni dereva na yuko responsible. Kitakacho baki kwangu ni kumuombea kwa Mungu na kujisubmit kwake kama kichwa cha nyumba.
 

da mkubwa, katika mahusiano tahadhari muhimu tena tahadhari kubwa. Tatizo hatuwezi kupredict behaviour ya mtu. Yaweza badilika muda wowote.
Tahadhari ya kuchukua ninayomaanisha hapa si kuzuia moyo kupenda, si kupenda kwa uoga bali ni kuuset moyo kuwa katika safari yenu ya mahusiano chochote (kizuri/kibaya) chaweza kutokea. Hii itasaidia endapo itatokea baya mapokeo yake yatakuwa ni tofauti na ambavyo ungelipokea wakati hukutarajia tangu awali.
 

Hapa nakubaliana na wewe Da mdogo kwa asilimia 110. tuko pamoja hapa. Yaani nafurahia maisha katika mwanga bora mpaka pale Tanesco watakapochukua umeme wao kitu ambacho ninaelewa kuwa chaweza kutokea. Lakini sio eti umeme upo basi Mj1 mie nisijivinjari kwenye kioo kuyafurahia makalio yangu ya embu kisa, Tanesco wanawezauchukua umeme wao! ah vunja mifupa bwana ila jua wawezashindwa kuivunja ukishang'oa meno but kuna kima ati................
 

Da Mkubwa.................I salute you.
 
what happened? You are becoming msumbufu everyday.

The last time I checked, ulikuwa kwa Mwingira, hama kabisa huko.

Unless kichwa cha biashara yangu awe amesinzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…