Wapo wanaosema kuwa kiongozi wa nyumba ni kazi. Kwa hiyo, ukiangalia swali ulilouliza kwa angle hii, utagundua kuwa family leadership haiwi determined na mila, desturi, faith au values. Rather, familia itaongozwa na mtu ambaye anajua kuongoza. Kichwa cha nyumba should be the person best suited for the job.
Kwa hiyo, kichwa cha nyumba anaweza asiwe yule mwenye kipato cha juu au yule anayebeba maboksi mazito. Bali kichwa cha nyumba ni yule aliye na uwezo wa ku-organise resources za nyumba, kutatua migogoro ndani ya familia na keeping his/her head in a crisis.
Kitu cha muhimu hapa ni kutofautisha kati ya kiongozi kwenye sehemu ya kazi, na kiongozi wa familia. Tofauti na kiongozi wa sehemu ya kazi, kiongozi wa familia hana option kufukuzafukuza ovyo a bad associate and hiring a better one. Lol.