hahahaha! Ngoja nipunguze. Ila mimi siwezi kumpa mwanaume hiyo nafasi. Akishindwa twende sawa basi akubali niwe juu yake. Ikishindikana natupa kule.
..........
Hahhh Soulmate, Inshallah aksante kwa dua zako.......I hope umenipa baraka zote eh?!🙂
....njoja siku unogewe....utakuja na verse mpya humu
Huku ukiwaona wenzio wanakuwekea 'usiku tu'....
hahahaha! Ngoja nipunguze. Ila mimi siwezi kumpa mwanaume hiyo nafasi. Akishindwa twende sawa basi akubali niwe juu yake. Ikishindikana natupa kule.
Hahahahah kweli baki na Uporoto wako tu maana ndiye anayekuwezea! hapo kwa kwenda sawa inategemea unadefine vipi Da mdogo maana kwa usawa wetu wa Beijing!! Sidhani!
Ninaomba kuuliza....... kuna ubaya wowote kwa karne ya sasa kumpenda mtu kwa kumpa nafasi aitegemeayo kwenye mahusiano? Mf. Mwanaume (Kibantu) yeye anategemewa kuwa kichwa cha nyumba, nikimpenda Laaziz wangu katika mazingira hayo ya kumwacha awe kichwa cha nyumba kuna ubaya?
hahahaha! Ngoja nipunguze. Ila mimi siwezi kumpa mwanaume hiyo nafasi. Akishindwa twende sawa basi akubali niwe juu yake. Ikishindikana natupa kule.
Nyamayao aksante kwa kuchangia. Ni kweli usemayo lakini maandiko yako ni kama vile umekata tamaa kuwa hakuna ever, hakuna anayeweza kuaminika katika hili. Hivi ni kweli kuwa hakuna kabisa au haiwezekani kabisa kwa mwanamke kumpata mwlanaume anayestahili kuitwa au kufanywa kichwa cha nyumba no matter the definition?
Hivi ni kweli kwua mapenzi yote yanastahili kulala jicho moja wazi? au kuingia mguu mmoja nje? kweli hakuna wanaostahili kuaminiwa na kuaminika?
If this is the kind of love life we are living katika dunia hii mtanifanya nikate tamaa ya maisha ya mahusiano na kuwaona wote mlioko kwenye mahusiano wasanii wa kaole! Plz
haponyamayao hiyo definition yako ya kichwa cha nyumba NDIO niliyoimaanisha mimi.........kuwa kama unampata mtu anayejua wajibu wake kama mume, mpenzi na baba kwa nini usimpe heshma yake na kumruhusu awe mfalme wa maisha yako? why wacwac usokuwa na maana? kujitilisha presha bure!
Hayo ya ATM, sijui cheque book yameletwa na post ya Babu DC tu kama caution but maana halisi ya mada hii ilikuwa ni hapo.
da mkubwa, katika mahusiano tahadhari muhimu tena tahadhari kubwa. Tatizo hatuwezi kupredict behaviour ya mtu. Yaweza badilika muda wowote.
Tahadhari ya kuchukua ninayomaanisha hapa si kuzuia moyo kupenda, si kupenda kwa uoga bali ni kuuset moyo kuwa katika safari yenu ya mahusiano chochote (kizuri/kibaya) chaweza kutokea. Hii itasaidia endapo itatokea baya mapokeo yake yatakuwa ni tofauti na ambavyo ungelipokea wakati hukutarajia tangu awali.
:busu:busu.....word...yaani umesema ki2 kitamu sana, nakutayarishia mbege ya kuanzia w'end.
"utabaki nae na umpe nafasi ya "uanaume??" umecheki dalili zote ana qualify?" '......
mnh, AshaDii ujijue wewe ni dada'ngu wa mtandaoni na maandiko yako kwangu ni wosia,
hebu nitafsirie - kumpa mwanaume nafasi ya "uanaume" mmekusudia nini?
Katika midahalo yoote, huu wa Mwj1 umenishindia hapo, am lost in translation...
Pls dear, "asojua maana haambiwi maana" hai apply hapa..Am counting my eggs frm ur hatchery.
"kichwa cha nyumba?...mie kwangu kichwa cha nyumba ni mwanaume anaejua wajibu wake, kuanzia kwa mke/watoto wake etc...."
Umepotea weye.Kama nimempenda mwenyewe na sijalazimishwa na mtu, atakacho yeye ndio faraja yangu, hilo tu la kumpa nafasi yake kama baba mwenye nyumba na kama kichwa sio issue kabisa
Umepotea weye.
Wapendwa
Heri ya Pasaka, poleni kwa msiba wa Kanumba, surely he will be missed.
Ninaomba kuuliza....... kuna ubaya wowote kwa karne ya sasa kumpenda mtu kwa kumpa nafasi aitegemeayo kwenye mahusiano? Mf. Mwanaume (Kibantu) yeye anategemewa kuwa kichwa cha nyumba, nikimpenda Laaziz wangu katika mazingira hayo ya kumwacha awe kichwa cha nyumba kuna ubaya?
Mi cjui nimechanganyikiwa? Nisaidieni ninawaomba!