Kuna Ubaya Wowote?..

Kuna Ubaya Wowote?..

hahahaha! Ngoja nipunguze. Ila mimi siwezi kumpa mwanaume hiyo nafasi. Akishindwa twende sawa basi akubali niwe juu yake. Ikishindikana natupa kule.

....njoja siku unogewe....utakuja na verse mpya humu
Huku ukiwaona wenzio wanakuwekea 'usiku tu'....
 
....njoja siku unogewe....utakuja na verse mpya humu
Huku ukiwaona wenzio wanakuwekea 'usiku tu'....

hahahaha! Moyo wangu mzito kunogewa. Labda kwa ndumba. Lol.
 
hahahaha! Ngoja nipunguze. Ila mimi siwezi kumpa mwanaume hiyo nafasi. Akishindwa twende sawa basi akubali niwe juu yake. Ikishindikana natupa kule.

Hahahahah kweli baki na Uporoto wako tu maana ndiye anayekuwezea! hapo kwa kwenda sawa inategemea unadefine vipi Da mdogo maana kwa usawa wetu wa Beijing!! Sidhani!
 
Hahahahah kweli baki na Uporoto wako tu maana ndiye anayekuwezea! hapo kwa kwenda sawa inategemea unadefine vipi Da mdogo maana kwa usawa wetu wa Beijing!! Sidhani!

da mkubwa hujui uporoto tushatupana kule. Yule sio shem wako tena. Usawa ni hivi; kama anataka tufanye jambo fulani ni lazima tukubaliane kwa pamoja na sio kwa sababu yeye ametaka na wakati huo ndio kashajiona libichwa (sio kichwa tena) anilazimishe.
Usawa ninaoutaka haswa ni katika kushirikishana katika maamuzi ya muhimu na kukubaliana kwa pamoja.
 
Ninaomba kuuliza....... kuna ubaya wowote kwa karne ya sasa kumpenda mtu kwa kumpa nafasi aitegemeayo kwenye mahusiano? Mf. Mwanaume (Kibantu) yeye anategemewa kuwa kichwa cha nyumba, nikimpenda Laaziz wangu katika mazingira hayo ya kumwacha awe kichwa cha nyumba kuna ubaya?

Ndo unadumisha penzi hata mshahara wako unanikabidhi mimi ndo napanga bajeti ya mwezi mzima.
 
hahahaha! Ngoja nipunguze. Ila mimi siwezi kumpa mwanaume hiyo nafasi. Akishindwa twende sawa basi akubali niwe juu yake. Ikishindikana natupa kule.

Daaah! Bi dada naona kama una-ovateki kwa spidi ya 120 kwenye kona..............unaona mbele kweli??
 
Nyamayao aksante kwa kuchangia. Ni kweli usemayo lakini maandiko yako ni kama vile umekata tamaa kuwa hakuna ever, hakuna anayeweza kuaminika katika hili. Hivi ni kweli kuwa hakuna kabisa au haiwezekani kabisa kwa mwanamke kumpata mwlanaume anayestahili kuitwa au kufanywa kichwa cha nyumba no matter the definition?
Hivi ni kweli kwua mapenzi yote yanastahili kulala jicho moja wazi? au kuingia mguu mmoja nje? kweli hakuna wanaostahili kuaminiwa na kuaminika?

If this is the kind of love life we are living katika dunia hii mtanifanya nikate tamaa ya maisha ya mahusiano na kuwaona wote mlioko kwenye mahusiano wasanii wa kaole! Plz

"kichwa cha nyumba?...mie kwangu kichwa cha nyumba ni mwanaume anaejua wajibu wake, kuanzia kwa mke/watoto wake etc...."

nime quote tena hicho kipengele hapo juu, mie ndio ninavyo define "kichwa cha nyumba"...na cjasema kwamba hawapo coz hata mie msukuma wangu ni kichwa cha nyumba, wapo sana tu, but "ukichwa wa nyumba" hautengenezwi/huwezi kumfanya/kumtengeneza awe kichwa cha nyumba, hapa ni makuzi/malezi aliyolelewa na kujitambua kama mwanaume na ku2mia uanaume wake kama mwanaume kamili, mwanaume anaejua responsibilities zake kama mwanaume, sasa ukimpata yule ambaye hajui wajibu wake kama mwanaume na ukataka kumtengeneza awe kichwa cha nyumba kuna mawili, anaweza kutengenezeka kama ni muelewa au anaweza kuku2mia kama sio muelewa,nikimaanisha wengine watautumia huo utengebnezaji kujinufaisha...... cjui nimeeleweka?
 
nyamayao hiyo definition yako ya kichwa cha nyumba NDIO niliyoimaanisha mimi.........kuwa kama unampata mtu anayejua wajibu wake kama mume, mpenzi na baba kwa nini usimpe heshma yake na kumruhusu awe mfalme wa maisha yako? why wacwac usokuwa na maana? kujitilisha presha bure!

Hayo ya ATM, sijui cheque book yameletwa na post ya Babu DC tu kama caution but maana halisi ya mada hii ilikuwa ni hapo.
hapo
2naelewana sasa, nilidhani upate yule ambae hajui majukumu yake kama kichwa cha nyumba then utake kumtengeneza awe kichwa cha nyumba.....
 
da mkubwa, katika mahusiano tahadhari muhimu tena tahadhari kubwa. Tatizo hatuwezi kupredict behaviour ya mtu. Yaweza badilika muda wowote.
Tahadhari ya kuchukua ninayomaanisha hapa si kuzuia moyo kupenda, si kupenda kwa uoga bali ni kuuset moyo kuwa katika safari yenu ya mahusiano chochote (kizuri/kibaya) chaweza kutokea. Hii itasaidia endapo itatokea baya mapokeo yake yatakuwa ni tofauti na ambavyo ungelipokea wakati hukutarajia tangu awali.

:busu:busu.....word...yaani umesema ki2 kitamu sana, nakutayarishia mbege ya kuanzia w'end.
 
"utabaki nae na umpe nafasi ya "uanaume??" umecheki dalili zote ana qualify?" '......
mnh, AshaDii ujijue wewe ni dada'ngu wa mtandaoni na maandiko yako kwangu ni wosia,
hebu nitafsirie - kumpa mwanaume nafasi ya "uanaume" mmekusudia nini?

Katika midahalo yoote, huu wa Mwj1 umenishindia hapo, am lost in translation...
Pls dear, "asojua maana haambiwi maana" hai apply hapa..Am counting my eggs frm ur hatchery.

Dah! mie nilikua natania Mbu... Topic za MJ1 Zimekua ni ngumu sana.
Hivo nakubali tu badala ya kuchangia maana hua naona ni ngumu.
Hio somehow hata mimi lost in translation hasa hayo maneno yana literally
meaning ama yana maana ndani yake. Hivo nakabidhi loba kwa MJ1
 
"kichwa cha nyumba?...mie kwangu kichwa cha nyumba ni mwanaume anaejua wajibu wake, kuanzia kwa mke/watoto wake etc...."

I see mbona jamaa amekuficha sana? umepotea sana
Unajua baba hajitambulishi? Ila majukumu ndo yanamtambulisha baba
Haya majukumu ndo yanageuza kuwa baba ndo kichwa cha familia
 
Kama nimempenda mwenyewe na sijalazimishwa na mtu, atakacho yeye ndio faraja yangu, hilo tu la kumpa nafasi yake kama baba mwenye nyumba na kama kichwa sio issue kabisa
 
Kama nimempenda mwenyewe na sijalazimishwa na mtu, atakacho yeye ndio faraja yangu, hilo tu la kumpa nafasi yake kama baba mwenye nyumba na kama kichwa sio issue kabisa
Umepotea weye.
 
Kwa ufahamu wangu ni kuwa mwanaume huvutiwa na mwanamke alie na tabia za kike,na moja ya tabia za kike ni hiyo uliyoitaja kwenye thread yako.Hata huko kwenye "haki sawa" kuna mambo yanabaki kwenye maneno tu hayawezekani kwenye vitendo kwa sababu mwanamke hawezi kuwa mwanaume na mwanaume hawezi kuwa mwanamke na hawa huvutana kutokana na tofauti walizonazo!
 
Wapendwa

Heri ya Pasaka, poleni kwa msiba wa Kanumba, surely he will be missed.

Ninaomba kuuliza....... kuna ubaya wowote kwa karne ya sasa kumpenda mtu kwa kumpa nafasi aitegemeayo kwenye mahusiano? Mf. Mwanaume (Kibantu) yeye anategemewa kuwa kichwa cha nyumba, nikimpenda Laaziz wangu katika mazingira hayo ya kumwacha awe kichwa cha nyumba kuna ubaya?

Mi cjui nimechanganyikiwa? Nisaidieni ninawaomba!

Hakuna ubaya MJ1 wala kufanya hivyo sikuchanganyikiwa.

Last edited by a moderator:
it worth and felt good reading..........kweli kuna wanawake mnajitambua ,mkipata wanaume wanaojitambua mwisho wa hadithi yenu inakuwa ni kale kasentesi katamu ka "........happly after'
 
Back
Top Bottom