I AM NO ONE
JF-Expert Member
- Aug 7, 2020
- 389
- 576
😅 mkuu ntakupanipe namba yake,
Hana juhudi yoyote tena ni msufumbu hatari mpka hao mabosi walishampa barua ya kumkanya, halafu anagombana sana na watejaPerformance ya mtu pamoja na nidhamu ya kazi ndio inampa mtu nafasi ya kukua kazini. Inaelekea huyo rafiki yako anavyo vyote ila sababu anaamini kwenye hizo mambo basi ataona ndio zinamsaidia kumbe juhudi yake binafsi na mapenzi ya Mungu vinatosha
Itabidi nihangaike mkuu kwlUpo mkuu, ni kuweka juhudi na maarifa katika utendaji wako.
dah 😅 kabisaHuo uchawi ungekuwepo, kila mtu angekuwa commissioner TRA au gavana BOT
Basi hayo anayofanya hayana maisha marefu, ipo siku yataharibika na atarudi 0. Wewe cheap kazihana juhudi yoyote tena ni msufumbu hatari mpka hao mabosi walishampa barua ya kumkanya..alafu anagombana sana na wateja
Sijielewi, I am craving for youBasi hayo anayofanya hayana maisha marefu, ipo siku yataharibika na atarudi 0. Wewe cheap kazi
nn tenaSijielewi, I am craving f
It wasn't your messagenn tena
👏It wasn't your message
tatizo kajificha hataki usumbufu ngoja tupalangane na hawa tunaowaonaMganga wa kweli ni Yesu peke ake.