OK!Performance ya mtu pamoja na nidhamu ya kazi ndio inampa mtu nafasi ya kukua kazini. Inaelekea huyo rafiki yako anavyo vyote ila sababu anaamini kwenye hizo mambo basi ataona ndio zinamsaidia kumbe juhudi yake binafsi na mapenzi ya Mungu vinatosha
Jidanganye... jidanganye...jidanganye....Toka nje ya box and you will see what happens with new ideas alongside ndumbaPerformance ya mtu pamoja na nidhamu ya kazi ndio inampa mtu nafasi ya kukua kazini. Inaelekea huyo rafiki yako anavyo vyote ila sababu anaamini kwenye hizo mambo basi ataona ndio zinamsaidia kumbe juhudi yake binafsi na mapenzi ya Mungu vinatosha
OK!
Swali kwako...?uchawi upo au hakuna
Ova
Nielekeze huko nje ya box basiJidanganye... jidanganye...jidanganye....Toka nje ya box and you will see what happens with new ideas alongside ndumba
Wachawi hatupendi show-off..!Huo uchawi ungekuwepo, kila mtu angekuwa commissioner TRA au gavana BOT
Upo town unapaza sauti eti hakuna uchawi, Calm down tembea uone watu wanaroga yani ni hatariBasi maisha yangekua simple sana, watu tusingekubali kupoteza pesa kusomesha watoto wetu wakati kwa mganga mambo supa
Lakini hata hivyo tungeona zile department nyeti zina endeshwa na mabosi waganga ambao wamekubuhu kwa uchawi
Fanya kazi kwa bidii, nidham ndo mafanikio yako. uchawi ungekuwa unasaidia wachawi wasio na vyeti wangeajiriwa , wasingefungwa magerezani. Mimi bana nilipata kazi Zanzibar, nilivofika nikaanza kupokea vitisho bila uchawi hapa hukai, wakaanza sijui alikuwepo fulani ikawa hivi, mara hapa utapeperushwa. Mimi kila siku nikawa napiga sala zangu maisha yanaenda, siku moja usiku nikawa natoka kwenye mizunguko yangu ya kawaida, na kwa vile asilimia kadhaa ya staff hasa wale magenerial tunaishi hapo kambini basi nikakuta jamaa wamekaa wanajadili namna ya kwenda kuniroga, na wale ambao wameshaenda kuniroga wakawa wanaleta mrejesho, kuwa jamaa mchawi sana halogeki,Habari,
Aise mimi kuna mahali nafanya kazi ila sasa kuna mtu nafanya nae kazi ananiambia we kaa hivyo hivyo usihangaike. Sasa huyo anaenimbia hivyo ni mtu alikuwa kitengo kingine akahamishwa akapelekwa kingine chenye nafuu kidogo
Halafu sasa ananiambia kashapewa barua ya kuongezewa mshahara ila sasa usemi wake kila akiniona ofisini ananiambia mdogo wangu karoge, hangaika
Je, naomba kujua kama kuna ushuhuda wa ukweli kuhusu uchawi wa namna hii upo kweli?
Hakuna uchawi wa kukuletea mafanikio, na mtu namdharau kama mchawiUchawi upo .inategemea umeenda kwa mganga gani.
Usije ukaenda kwa mganga badala ya kupandishwa mshahara unafukuzwa kabisa
kutokana na imani yako, hakuna mchawi aliye mkuu mbele za MunguOK!
Swali kwako...?uchawi upo au hakuna
Ova
Labda kwenye kampuni ya wazungu.Performance ya mtu pamoja na nidhamu ya kazi ndio inampa mtu nafasi ya kukua kazini. Inaelekea huyo rafiki yako anavyo vyote ila sababu anaamini kwenye hizo mambo basi ataona ndio zinamsaidia kumbe juhudi yake binafsi na mapenzi ya Mungu vinatosha
Hakuna uchawi, kama upo thibitishaUpo town unapaza sauti eti hakuna uchawi, Calm down tembea uone watu wanaroga yani ni hatari
huku kwetu watu wananasa kwenye matawi, kama we ni mwoga man we usiku haulali.
Labda nikuulize swali, uthibitisho mnao taka tuwape jf ni kama upi?Hakuna uchawi, kama upo thibitisha
hahahahahahaha dah nimecheka kinoma yan 🤣🤣🤣🤣🤣Jidanganye... jidanganye...jidanganye....Toka nje ya box and you will see what happens with new ideas alongside ndumba
hiyo ndio ndumba nangai mkuu mabaharia peke yake ndo wanawezaKuna jamaa angu alikua anampenda demu flani......akaenda kwa mganga flani sijui alimjulia wapi na nilimsindikiza mim mwenyew.....siku hyo tumetoka tu kwa mganga .......ilikua usiku......asubuh ghafla jamaa anagongewa mlango na demu........
Akamuomba jamaa watoke nje waongee.......bwana wee....si demu akaanza kujieleza kiasi gani anampenda kishenzi na usiku huo hajalala kumuwaza tu mshkaji......jamaa nae ili kulevel Mambo akamwambia tu demu kwamba nae ni kitambo anampenda demu ila alikua anashindwa tu kumwambia.........
Wakaanza mahusiano...
Hiyo ilikua 2012.....mwaka 2016 walioana na sa hv ni wanandoa na watoto wawili.....
Huwa najiuliza maswali mengi Sanaa kwnye hili nililolishuhudia na majibu sipati
Wowote unaoweza kuthibitisha uchawi upo uweke.Labda nikuulize swali, uthibitisho mnao taka tuwape jf ni kama upi?
Hakuna uchawi wa kukuletea mafanikio, na mtu namdharau kama mchawi
kama umeo ruhusu watu wavunje ndoa yako kwa uchawi siunataka ushuhudaWowote unaoweza kuthibitisha uchawi upo uweke