Kuna ugonjwa wa kupenda kutongozwa jamani

Jamani zile za makonda na machinga huwa zinanitoa amani....kama ni mume wa mtu I will use him for my advantage halafu nasepa.

Acha ubaguzi Madamex hata hawa ni binadamu kama wengine nao wanahitaji kupendwa.
 

Nimekupata kwa hilo. Vipi kuhusu mabwana za watu - je wenyewe ruksa kukutongoza? Yaani mwanaume ambaye ana mwanamke/wanawake wengine ambao hajafunga naye/nao ndoa rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…