Kuna ugonjwa wa kupenda kutongozwa jamani

Kuna ugonjwa wa kupenda kutongozwa jamani

Jamani zile za makonda na machinga huwa zinanitoa amani....kama ni mume wa mtu I will use him for my advantage halafu nasepa.

Acha ubaguzi Madamex hata hawa ni binadamu kama wengine nao wanahitaji kupendwa.
 
mmmh mi sijui
raha ya kutongozwa inategemea na mtongozaji bwana......
sio unatongozwa na waume za watu.makonda,watoto wadogo ... wacongo....mapadre ufurahie...
mimi kwangu inategemea ananitongoza nani....
kiukweli kuna magroup huwa sipendi wanitongoze especially waume za watu ...kweli nachukia tongozo zao toka moyoni kabisa
huwa naumwa kabisa ...kabisa
...

Nimekupata kwa hilo. Vipi kuhusu mabwana za watu - je wenyewe ruksa kukutongoza? Yaani mwanaume ambaye ana mwanamke/wanawake wengine ambao hajafunga naye/nao ndoa rasmi.
 
Back
Top Bottom