Chest burning, hiyo ni Kiungulia (heartburn) hii husababishwa na wingi wa acid katika mfumo wa chakula, hii ijasababishwa na mambo mengi km vile aina ya lishe, na hofu yenyewe ambayo inaweza kupelekea vidonda vya tumbo.Mkuu vella kuna dalili baadhi zipo kati ya hizo ulizo andika na moja kutoka kwa jamaa aliyeandika pale juu hususani ya chest burning!!!
Naomba msaada wako zaidi mkuu
Hivyo ukiwa na hofu au msongo wa mawazo, unaweza kujisababishia vidinda vya tumbo ambapo kiungulia ni moja ya dalili za awali.