Kuna ugumu Gani wa kumfikisha mwanamke kilelen?

Kutokufika kileleni kwa mwanamke mara nyingi inachangiwa na vitu vifuatavyo:

1. Ukosefu wa nguvu za kiume kwa mwanaume kiasi kwamba anashindwa kufanya mapenzi kwa atlist dakika tatu. Na akifika hawezi tena kurudia tendo.

2. Utayari wa mwanaume kumfikisha mwanamke. Mwanaume ukitaka kumfikisha mwanamke huna budi kujituma kabla na wakati wa tendo. Tatizo linakuja pale mwanaume anapojiuliza nahangaika ili iweje? Inakuta mwanamke kakusumbua mpaka umempata, amekula ela yako ya kutosha, ya nini kujitesa zaidi? Unajifikisha mwenyewe yeye apambane na hali yake.

3. Uelewa mdogo wa wanawake kuhusu kufika kileleni. Wanawake wengi wanafikiri safari ya kufika kileleni ni jukumu la mwanaume peke yake, sio kweli. Mwanamke inabidi ajitumie pia, ajue nini anataka, aguswe wapi apate raha, na aseme sio kila mwanamke anapenda kunyonywa maziwa, wengine wanapenda kiss za shingo, etc. SEMA

4. Jitayarishe kisaikolojia kuwa utapata raha na utafika. Mwanamke ukiingia kwenye tendo huku wewe unakumbuka mechi ya mwisho ambavyo huku enjoy hiyo no drawback kubwa sana na unamchosha tu mwanaume kukuhamisha mawazo yako ayelete tena kwa wakati huo. Wanaume na sisi hapa inatubidi tuwape wanawake muda, sio umemfikisha kitandani tayari ushamvua unataka kuingiza.

Yapo mengi sana, nipo kwenye movement. Nikitulia nitaandika mengine.
 
Saivi na fikishwa kileleni haswa nat''''m hadi basi yaani kama Jana chuma mboga ilikuwa tramu aisee na Ile yakupigwa trako hadi Raha huyu mwanaume ananizima sana hadi basi mapenzi ndindi

[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Kuwa mbinafsi, fanya unachotaka.
Muongoze kwa maneno, zama akilini mwake mpaka asisimke.
Atajisikia amani kujiachia, akijiachia anafika kiurahisi.
Mpe experience tofauti lakini sio kwa lengo la kumfurahisha, ila awe sehemu yako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kibaya zaidi nasikia mwamba alienda kupigana vita somalia kipind soja yuko somalia bwana mkubwa akamsaidia mwanajesh majukumu aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna watu hawazionei huruma nnyaaa zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…