jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Bro mwanamke kufika kileleni kuna factor nyingi sana lakini pia kufika kileleni sio kazi kwa mwanamke ni vile basi tu jamii tumeichukilia hiyo dhana kinamna yake..kama kukiwa na ushirikiano kati ya mwanamke na mwanaume basi jambo hilo ni rahisi sana labda nijaribu kutaja mambo kwa uchache yanayosaidia kwa mwanamke kufika kileleni kwa upeo wangu:
1.ili mwanamke afike kileleni lazima uingie moyoni yaani akupende sisi wanawake bana kama sijakupenda hujaingia moyoni aise nakuona kama mdudu tu nitafake tu ili umalize nisepe
2.ili mwanamke afike kileleni angalau akuzoee kidogo yani muwe na ukaribu akujue kidogo angalau kalee kahofu kauanamke katoweke yani awe free kujiachia kwako
3.Kujua sehemu ambayo mwanamke atakuwa stimulated hapa kila mwanamke anamahala pake ambapo akishikwa au akiguswa lazima samaki aingie kwenye ndoani sasa hapa ni masuala ya kuambiana ,demu wako akwambie ni mahala gani ukimgusa au ukimshika anasisimka we utakuwa unacheza na hio angle.
4.Lile tendo linaanzia kwenye brain ni muhimu kuandaana kisaikolojia kuwa bana leo nimemis io kitu ukija tu lazima nikudake so demu wako nakuwa anajua kabisa leo nikienda kwa mshikaji tu lazima nibanduliwe so akili yake yote inakuwa kwenye tendo.
5.Kuwepo na uhakika wa kupendwa,demu wako awe ajue kuwa jamaa ananifeel na anafurahia tendo na mimi hapo ni rahisi kujiachia,hivyo hata kwenye tendo inasaidia kurahisisha kazi ya kufika kileleni
Mwisho kabisa pendwa unapopendwa mwanamke akikupenda madhaifu yotee hatayaona hata uwe na kibamia ye ataona unamtarimbo na kama hujamridhisha ataangalia namna ili wote mfike either atakwambia or atakushauri or atajiongeza..
Sema siku hizi mambo yamebadilika UNAYEMPENDA HAKUPENDI NA ANAYEKUPENDA HUMPENDI kufika kileleni labda cha mlima Kilimanjaro...au Meru
Ufafanuzi mzuri.