Chouder
JF-Expert Member
- Mar 29, 2023
- 558
- 876
Bro mwanamke kufika kileleni kuna factor nyingi sana lakini pia kufika kileleni sio kazi kwa mwanamke ni vile basi tu jamii tumeichukilia hiyo dhana kinamna yake..kama kukiwa na ushirikiano kati ya mwanamke na mwanaume basi jambo hilo ni rahisi sana labda nijaribu kutaja mambo kwa uchache yanayosaidia kwa mwanamke kufika kileleni kwa upeo wangu:Binafsi nilichelewa kuingia kwenye ulimwengu wa kimahusiano. Moja ya sababu zilizonichelewesha ni uoga wa kutongoza. Nilikuwa mjanja sana ila Zuzu Kwa wanawake. Kutongoza ilikuwa ni adhabu kwangu, niliamua kuchagua Maisha tofauti mapenzi nikawaachia wengine!!
Muda mwingi niliutumia kujifunza kuhusu mapenzi, Moja ya kelele nilizokutananazo ni Tatizo la kutomfikisha mwanamke kileleni na shida ya nguvu za kiume..
Nilichogundua, sababu pekee inayoweza pelekea mwanamke asifike kileleni ni UBAKAJI, Yani kulazimisha tendo pasipo hiari yake..
Sasa huwa sielewi, kwanini wanawake wengi bado wanalalamikia kutofikishwa ama malalamiko yao ni FAKE Ili kutengeneza mazingira ya kutusimanga wanaume!!
1.ili mwanamke afike kileleni lazima uingie moyoni yaani akupende sisi wanawake bana kama sijakupenda hujaingia moyoni aise nakuona kama mdudu tu nitafake tu ili umalize nisepe
2.ili mwanamke afike kileleni angalau akuzoee kidogo yani muwe na ukaribu akujue kidogo angalau kalee kahofu kauanamke katoweke yani awe free kujiachia kwako
3.Kujua sehemu ambayo mwanamke atakuwa stimulated hapa kila mwanamke anamahala pake ambapo akishikwa au akiguswa lazima samaki aingie kwenye ndoani sasa hapa ni masuala ya kuambiana ,demu wako akwambie ni mahala gani ukimgusa au ukimshika anasisimka we utakuwa unacheza na hio angle.
4.Lile tendo linaanzia kwenye brain ni muhimu kuandaana kisaikolojia kuwa bana leo nimemis io kitu ukija tu lazima nikudake so demu wako nakuwa anajua kabisa leo nikienda kwa mshikaji tu lazima nibanduliwe so akili yake yote inakuwa kwenye tendo.
5.Kuwepo na uhakika wa kupendwa,demu wako awe ajue kuwa jamaa ananifeel na anafurahia tendo na mimi hapo ni rahisi kujiachia,hivyo hata kwenye tendo inasaidia kurahisisha kazi ya kufika kileleni
Mwisho kabisa pendwa unapopendwa mwanamke akikupenda madhaifu yotee hatayaona hata uwe na kibamia ye ataona unamtarimbo na kama hujamridhisha ataangalia namna ili wote mfike either atakwambia or atakushauri or atajiongeza..
Sema siku hizi mambo yamebadilika UNAYEMPENDA HAKUPENDI NA ANAYEKUPENDA HUMPENDI kufika kileleni labda cha mlima Kilimanjaro...au Meru