Kuna ugumu/uzito gani kuweka wazi Afya ya Kiongozi pale anapougua?

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Habari!

Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma.

Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo.

Kuna ugumu gani kuweka wazi taarifa ya viongozi wetu kuugua ikiwa wao ni binadamu sio suala la kushangaza.

Nimeona habari ya Mfalme Cherles wa Uingereza (Soma Hapa) amegundiliwa kuwa na saratani na Uingerezawameweka suala hili wazi kwa Umma.

Nini kinafanya jambo hili liwe gumu kwa nchi yetu?

Je, Kuna kanuni au Sheria inayozuia?
 
Inakuwa ni rahisi kuweka wazi taarifa yake pale akitibiwa katika hospitali zenye kueleweka, lakini wakienda kwenye tiba za jadi, inakuwa ni ngumu kusema.
 
Nimeona habari ya Mfalme Cherles wa Uingereza (Soma Hapa) amegundiliwa kuwa na saratani na Uingerezawameweka suala hili wazi kwa Umma.
Huku kwetu wanaogopa kunyang'anywa cheo

Ila ni ajabu mbona Mkwere aliwatangazia walipa kodi na dunia na akaenda kutibiwa
 
Magufuli alikuwa ni muoga ndo maana alificha status ya afya yake
Habari!

Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma.

Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo.

Kuna ugumu gani kuweka wazi taarifa ya viongozi wetu kuugua ikiwa wao ni binadamu sio suala la kushangaza.

Nimeona habari ya Mfalme Cherles wa Uingereza (Soma Hapa) amegundiliwa kuwa na saratani na Uingerezawameweka suala hili wazi kwa Umma.

Nini kinafanya jambo hili liwe gumu kwa nchi yetu?

Je, Kuna kanuni au Sheria inayozuia

Salaam, Shalom!!

Alipougua Hayati Mwl Nyerere tulipata taarifa, na alipopita Toka butiama kwenda Airport kupanda ndege pale Musoma airport, watu walipanga foleni barabarani na Kwakuwa alipanda gari isiyo na vioo tinted, watu walimpungia mkono na alijibu japo Kwa unyonge, wengine ndio ilikuwa kwaheri ya mwisho kuagana nae.

Alipougua Hayati Mkapa pia tulijulishwa, Mh Kikwete alipopata ugonjwa wa tezi dume, tuliarifiwa na alipokuwa nje Kwa matibabu tulijua. Alipowekewa Sumu Mzee Mangula tuliarifiwa na tulimuombea. Mzee Mwinyi pia tulijuzwa.

Shida ikaja alipougua Hayati Magu, hatukuambiwa, zilibaki tu tetesi, Philip Mpango pia ikawa kimya nk nk nk nk!!

Hivi sasa Kuna tetesi juu ya kuugua RC wa Arusha, ukimya umetawala.

Swali: Hivi mnajua kuwa AFYA au kuumwa Kwa viongozi wa umma ni jambo la umma, Si la kibinafsi?

Kuna faida na HASARA zipi kuficha taarifa za kuugua viongozi wa umma?

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
 
Kuna wanaodai kuwa kuuarifu umma juu ya kuugua Kwa kiongozi wa umma itazua taharuki,

Hili Si Kweli, mbona Mwl Nyerere alipougua, umma uliharifiwa na hapakutokea taharuki yoyote?

Hii TABIA ngeni yatoka wapi?
 
Hizi post nyingi zinafanana, itakua mods wapo likizo au watu wameishiwa Cha kuandika
 
Kuna wanaodai kuwa kuuarifu umma juu ya kuugua Kwa kiongozi wa umma itazua taharuki,

Hili Si Kweli, mbona Mwl Nyerere alipougua, umma uliharifiwa na hapakutokea taharuki yoyote?

Hii TABIA ngeni yatoka wapi?
Kuna Kiongozi anaumwa?
 
Kwa Kawaida ugonjwa ni Siri ya Mgonjwa na Daktari
Kiongozi wa Umma tunatakiwa kujua Afya yake na kama hataki aachie Ofisi zetu.

Sio kukimbiza maiti Nairobi Hospitali halafu Wakenya ndio watuambie kuwa Kiongozi wenu Kafa.

Ni aibu aibu kweli kweli.
 
Habari!

Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma.

Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo.

Kuna ugumu gani kuweka wazi taarifa ya viongozi wetu kuugua ikiwa wao ni binadamu sio suala la kushangaza.

Nimeona habari ya Mfalme Cherles wa Uingereza (Soma Hapa) amegundiliwa kuwa na saratani na Uingerezawameweka suala hili wazi kwa Umma.

Nini kinafanya jambo hili liwe gumu kwa nchi yetu?

Je, Kuna kanuni au Sheria inayozuia?
Hata hapa tulijua Mwl. Nyerere anaumwa kupitia vyombo vya habari umma,,na tukaombwa tumuombee,ilikuwa awamu ya tatu ya Hayati Mkapa,na hata yeye alipougua tuliambiwa tena alilazwa kwa miezi mitatu, naona hii imeanza kwenye awamu ya tano maana hata Kikwete alipougua tezi aliwahi kusema,alitaka kuwaambia watanzania lakini anasema Magufuli allmzuia asiseme. Hivyo Sioni ya kuwaambia wananchi kiongozi wao ni mgonjwa, kwanza inasaidia kuondoa uvumi usiokuwa na w sababu.
 
Back
Top Bottom