Huku kwetu wanaogopa kunyang'anywa cheoNimeona habari ya Mfalme Cherles wa Uingereza (Soma Hapa) amegundiliwa kuwa na saratani na Uingerezawameweka suala hili wazi kwa Umma.
Habari!
Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma.
Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo.
Kuna ugumu gani kuweka wazi taarifa ya viongozi wetu kuugua ikiwa wao ni binadamu sio suala la kushangaza.
Nimeona habari ya Mfalme Cherles wa Uingereza (Soma Hapa) amegundiliwa kuwa na saratani na Uingerezawameweka suala hili wazi kwa Umma.
Nini kinafanya jambo hili liwe gumu kwa nchi yetu?
Je, Kuna kanuni au Sheria inayozuia

Je, Kuna kanuni au Sheria inayozuia?
Kuna Kiongozi anaumwa?Kuna wanaodai kuwa kuuarifu umma juu ya kuugua Kwa kiongozi wa umma itazua taharuki,
Hili Si Kweli, mbona Mwl Nyerere alipougua, umma uliharifiwa na hapakutokea taharuki yoyote?
Hii TABIA ngeni yatoka wapi?
Kiongozi wa Umma tunatakiwa kujua Afya yake na kama hataki aachie Ofisi zetu.Kwa Kawaida ugonjwa ni Siri ya Mgonjwa na Daktari
Hata hapa tulijua Mwl. Nyerere anaumwa kupitia vyombo vya habari umma,,na tukaombwa tumuombee,ilikuwa awamu ya tatu ya Hayati Mkapa,na hata yeye alipougua tuliambiwa tena alilazwa kwa miezi mitatu, naona hii imeanza kwenye awamu ya tano maana hata Kikwete alipougua tezi aliwahi kusema,alitaka kuwaambia watanzania lakini anasema Magufuli allmzuia asiseme. Hivyo Sioni ya kuwaambia wananchi kiongozi wao ni mgonjwa, kwanza inasaidia kuondoa uvumi usiokuwa na w sababu.Habari!
Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma.
Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo.
Kuna ugumu gani kuweka wazi taarifa ya viongozi wetu kuugua ikiwa wao ni binadamu sio suala la kushangaza.
Nimeona habari ya Mfalme Cherles wa Uingereza (Soma Hapa) amegundiliwa kuwa na saratani na Uingerezawameweka suala hili wazi kwa Umma.
Nini kinafanya jambo hili liwe gumu kwa nchi yetu?
Je, Kuna kanuni au Sheria inayozuia?
Si jambo jema kabisa!