Kuna uhaba wa mabasi ya mwendokasi halafu tunaona CCM mnashusha mabasi mapya ya chama, kuweni na aibu

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
CCm ndio Serikali yenyewe

Kitendo cha awamu hii ndani ya miaka 5 mmeshindwa kuwaletea wananchi mabasi ya mwendokasi watu wanapata mateso alafu nakuja kuona yutong za ccm kma 30 na ushee zimeshuka hapo bandarini kama kutakuwa na tume huru basi huu mkoa wa Dar hata jimbo moja hamuwezi chukua

Nilitegemea kwa kujali maslahi ya wananchi oda ya kuagiza zile basi za Yutong mngeagiza mabasi ya mwendokasi yafike kwanza kwa maslahi ya wananchi alafu baada ya wananchi shida kupungua ndio mngeweka oda yenu maana ufmchaguzi bado hadi mwezi wa kumi

Soma:CCM wanatoa wapi fedha za kununulia msululu huu wote wa Mabasi, kama sio Kodi za Wananchi ni nini?

Awamu hii mashangi v8 matoleo mapya mmenunua nchi nzima pesa ipo, ila magari ya usafiri wa uma mnasuasua, mabasi ya chama mmeshusha kifurushi cha kutisha ila mwendokasi mmetoa ahadi hadi sasa hakuna magari

Soma: Changamoto 10 usafiri mwendokasi
 
Survival for the fittest pambana na wewe uendeshwe kwenye V8 mwendokasi niya wanyonge. hakuna aliepo bungeni kukuangaikia ukiona maendeleo jimboni kwako ni kwa bahati tu kila mtu ana pambania ndugu zake kujiwekea miradi yake, wewe ukikazana kuangalia wanaleta mabasi kwa kazi zao na matumizi yao na kwa watu wao haupo kwenye list ya watu wao hizo raha sio zako, pambana uendeshwe na V8. Hakuna mtu yupo kupambania maendeleo yako. Kama ilivyo wewe una amka kwenda pambania familia yako nao ndio wanavyo fanya so quit lamenting and fight for yourself the world is never a better for us all just for a few. Hence keep fighting nigger
 
Tutayapiga mnada yote baada ya uchaguzi
 
Umeongea point kubwa na ya maana sana braza
 
Hatuwezi kuitoa CCM madarakani kwa hizi mentality za kulialia na kulalama kila siku,,,
Upinzani umeshatuambukiza Watanganyika tumekuwa watu wa mihemuko...
 
Umeongea point kubwa na ya maana sana braza
Bro tupambane sana, hakuna mtu anae kuwazia, kila mtu ana majukumu yake hakuna wakuja kukuboreshea maisha zaidi yako mwenyewe. ishara za haya nayo kuambia zipo kibao. Kikubwa fight na wewe ukae mahali basi ukisubiria huku chini uta kufa hujawahi kuwa na maisha ya kueleweka. Kaa tafakari kuna kipi kuanzia huduma za afya, usafirishaji, umeme, kazi, barabara za mitaa, elimu, mitaala yetu, mifumo ya ajira, vibali vya kuanzisha au kuendesha biashara nipe kitu unacho weza jivunia kama Mtanzania kuwa hichi wana pambania sana kama serikali tuna pata kila kona kwa asalimia 80%
 
Hii nchi mpaka hapa ilipofikia, inahitaji kijana kama yule Traore wa West Africa. Hakuna namna nyingine.
 
Ndo hivo,zilianza pikipiki.ngoje tuendelee kuburutwa kwa ujinga wetu,Hatujitambui
 
CCm ndio Serikali yenyewe

Kitendo cha awamu hii ndani ya miaka 5 mmeshindwa kuwaletea wananchi mabasi ya mwendokasi watu wanapata mateso alafu nakuja kuona yutong za ccm kma 30 na ushee zimeshuka hapo bandarini kama kutakuwa na tume huru basi huu mkoa wa Dar hata jimbo moja hamuwezi chukua

Nilitegemea kwa kujali maslahi ya wananchi oda ya kuagiza zile basi za Yutong mngeagiza mabasi ya mwendokasi yafike kwanza kwa maslahi ya wananchi alafu baada ya wananchi shida kupungua ndio mngeweka oda yenu maana ufmchaguzi bado hadi mwezi wa kumi

Soma:CCM wanatoa wapi fedha za kununulia msululu huu wote wa Mabasi, kama sio Kodi za Wananchi ni nini?

Awamu hii mashangi v8 matoleo mapya mmenunua nchi nzima pesa ipo, ila magari ya usafiri wa uma mnasuasua, mabasi ya chama mmeshusha kifurushi cha kutisha ila mwendokasi mmetoa ahadi hadi sasa hakuna magari

Soma: Changamoto 10 usafiri mwendokasi
Aibu kabisa hii.
Nimemsikia na Katibu mwenezi ccm akisema 'Na Bado.'
 
Msaada wakuu hivi hizo yutong ni bei gani?? Per bus ikiwa mpya
 
CCm ndio Serikali yenyewe

Kitendo cha awamu hii ndani ya miaka 5 mmeshindwa kuwaletea wananchi mabasi ya mwendokasi watu wanapata mateso alafu nakuja kuona yutong za ccm kma 30 na ushee zimeshuka hapo bandarini kama kutakuwa na tume huru basi huu mkoa wa Dar hata jimbo moja hamuwezi chukua

Nilitegemea kwa kujali maslahi ya wananchi oda ya kuagiza zile basi za Yutong mngeagiza mabasi ya mwendokasi yafike kwanza kwa maslahi ya wananchi alafu baada ya wananchi shida kupungua ndio mngeweka oda yenu maana ufmchaguzi bado hadi mwezi wa kumi

Soma:CCM wanatoa wapi fedha za kununulia msululu huu wote wa Mabasi, kama sio Kodi za Wananchi ni nini?

Awamu hii mashangi v8 matoleo mapya mmenunua nchi nzima pesa ipo, ila magari ya usafiri wa uma mnasuasua, mabasi ya chama mmeshusha kifurushi cha kutisha ila mwendokasi mmetoa ahadi hadi sasa hakuna magari

Soma: Changamoto 10 usafiri mwendokasi
Hao wanachojali ni matumbo yao tu na familia zao.
Laana na iwapate maana usafiri wa mwendokasi huwezi kuupanda bila kuilaani serikali ya FISIEM
 
Ngoja nchi itafunwe mpk siku watanzania tunatoka usingizini yamebaki makombo tu
 
Hii inaitwa kula kwa kamba yako ndugu - ikiwa fupi tatizo sio letu.
 
Ngoja nisubirie uzi wa Lucas akikibujika na Machozi akishapanda mabasi hayo.
 
  • Kicheko
Reactions: apk
Back
Top Bottom