LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
CCm ndio Serikali yenyewe
Kitendo cha awamu hii ndani ya miaka 5 mmeshindwa kuwaletea wananchi mabasi ya mwendokasi watu wanapata mateso alafu nakuja kuona yutong za ccm kma 30 na ushee zimeshuka hapo bandarini kama kutakuwa na tume huru basi huu mkoa wa Dar hata jimbo moja hamuwezi chukua
Nilitegemea kwa kujali maslahi ya wananchi oda ya kuagiza zile basi za Yutong mngeagiza mabasi ya mwendokasi yafike kwanza kwa maslahi ya wananchi alafu baada ya wananchi shida kupungua ndio mngeweka oda yenu maana ufmchaguzi bado hadi mwezi wa kumi
Soma:CCM wanatoa wapi fedha za kununulia msululu huu wote wa Mabasi, kama sio Kodi za Wananchi ni nini?
Awamu hii mashangi v8 matoleo mapya mmenunua nchi nzima pesa ipo, ila magari ya usafiri wa uma mnasuasua, mabasi ya chama mmeshusha kifurushi cha kutisha ila mwendokasi mmetoa ahadi hadi sasa hakuna magari
Soma: Changamoto 10 usafiri mwendokasi