Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Mbona mke akifiwa na Mme wake ruksa kuolewa na mme mwingine? Sembuse vilaini vya simu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njooo nilipo nikutoe out! 😂🤣😄Mbona mke akifiwa na Mme wake ruksa kuolewa na mme mwingine? Sembuse vilaini vya simu!
Ni makosa makubwa.Wasalaam wana JF
Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA?
Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye hai au aliyekufa) inaweza kukuweka kwenye mazingira yasiyo rafiki.
Nawaza tu, mathalani huyo mtu alikua ni kicheche au mkopaji sugu, unaweza ukapigiwa simu kibao na michepuko yake au wadai.
Nadhani kampuni za simu ziliangalie hili katika mapana yake. Kuna hesabu za probability tulifundishwa kwamba kwa idadi ya number tulizonanzo kwenye number zetu za simu, wanaweza wakaendelea kutoa number bila ya kurudia kwa miaka 100
Ikishindikana watuambie wateja kwamba hizi ni number mpya na hizi ni za mtumba (yaani zimetumika) ili mteja aweze kufanya an informed decision
Kama unabisha andamana
Mi yangu niliipoteza nikataka kuirudisha nashangaa!Kapewa mchina!Wasalaam wana JF

DOnnie,
Holy,Upo na unafanya kazi
Shida tupo vizuri sana kwenye mikakati njoo utekelezaji ni aibu.Unajua kuna kipindi TCRA walitaka kuja na mfumo wa Number managment portability (NMP).
Hii ilikuwa inatakiwa kuwa mtu anakuwa na umiliki halali wa laini yake, kwa maana kwamba unaweza kutoka mtandao mmoja ukahamia mtandao mwingine kwa kutumia laini hiyo hiyo.
hili wazo lilikuwaga zuri na ingesaidia sana endapo mtu asingefurahishwa na huduma za mtandao fulani basi anahamia mtandao mwingine bila kupoteza majina ya watu wake.
Sijui mpango ule uliishia wapi, ila kuna nchi wana hizi mifumo, na kuhusu laini yako kupewa mtu mwingine nilishawahi sikia kwamba ni bora watumie line hizo kuliko kuandaa zingine sababu ya gharama.
Issue ikaendaje sasa?nishawai kununua laini kumbe mwaka mmoja ilitumika na jambazi sugu na bado namba yake hipo kwenye rb polisi file
utaona tu msg na mishe mishe nyingi za hiyo lineMi nauliza tu, utajuaje kama namba ilikuwa inatumika na mtu kabla yako?
Ukiona watu wanakosea sana ndio njia pekee ya kujua.Mi nauliza tu, utajuaje kama namba ilikuwa inatumika na mtu kabla yako?
kwamba nayo line imeachika?Mbona mke akifiwa na Mme wake ruksa kuolewa na mme mwingine? Sembuse vilaini vya simu!
system?Kuna siku tulikuwa kwenye semina, wahusika walituambia kuwa hizi namba wao huwa wanalipia kwa mamlaka zinazohusika.
Kwa hiyo mtu akiacha kutumia kwa miezi kadhaa mchakato wote wa kuiingiza sokoni hiyo namba kwa mteja mpya huanza.
Badala ya kutengeneza namba mpya na kuongeza idadi ya gharama za kulipia wanaamua kuziingiza sokoni tena zile ambazo hazitumiki kwa muda mrefu.
Labda kama hukusajili kwa NIDA yako ila kama ulisajili kwa ID yako hilo deni watalihamishia kwenye line nyingine ya voda utakayoisajili kwa ID yako.Mimi kuna number nilipoteza aisee watakae mpa na mhurumia, ina deni la nipige tafu 10k.. Songesha 70k so atajuta.
HawaruhusiwiWasalaam wana JF
Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA?
Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye hai au aliyekufa) inaweza kukuweka kwenye mazingira yasiyo rafiki.
Nawaza tu, mathalani huyo mtu alikua ni kicheche au mkopaji sugu, unaweza ukapigiwa simu kibao na michepuko yake au wadai.
Nadhani kampuni za simu ziliangalie hili katika mapana yake. Kuna hesabu za probability tulifundishwa kwamba kwa idadi ya number tulizonanzo kwenye number zetu za simu, wanaweza wakaendelea kutoa number bila ya kurudia kwa miaka 100
Ikishindikana watuambie wateja kwamba hizi ni number mpya na hizi ni za mtumba (yaani zimetumika) ili mteja aweze kufanya an informed decision
Kama unabisha andamana
Nasema'ivii, hiyo calculation ni ya uongo.Wala usihofu mpendwa! Kila kitu kinaenda katika mizania ya haki! Mpendwa ebu nikujibu kikristo! Mitandao ya simu inarejesha kwa usajili mpya kama line ya simu itakuwa dormant kwa kipindi cha mwaka mmoja! Kisheria katika mizania ya haki mmiliki wa hiyo line anakuwa amepoteza sifa ya uhalali wa umiliki wa line asipoitumia kwa kipindi cha mwaka mmoja! Ukipewa ukaisajili kwa namba mpya na jina la NIDA kuanzia hapo ni mali halali yako! Makampuni ya simu lazima yafanyehivyo vinginevyo namba zitaisha. Kwa mfano: namba ya utambulisho wa mtandao husika ni namba nne za mwanzo yaani "0712" zinazofuatia ni jumla ya namba 6. Hizi namba sita unaweza kuzipanga bila kujirudia 9x9x9x9x9x9=531,441.
Kwahiyo namba moja ukiiondoa kwenye matumizi kwasababu eti mtumiaji ana rekodi mbaya inakuwa ni hasara kwa kampuni na mwisho wa siku wataishiwa na namba. Hivyo namba isipotumika lazima apewe mtumiaji mpya na maisha yaendelee