Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu
1. Punyeto ni ugonjwa gani?
2. Nini kinasababisha mtu aoige punyeto?
3. Inaenda kutibu nini hiyo dawa?
Kuna wauzaji wa dawa hizi za supplement wana kuwa na uongo uongo mwingi sana. ukiwauliza hayo maswali wanakosa majibu. Kuna ambao wanajitambulisha kuwa ni Daktar Ngunde. Ukimuuliza una cheti cha udaktari anasema amesomea online au amesoma soma sasa anaufahamu. anatoa ushauri wa kitaalamu kwa utaalamu wa hapa na pale. hii ni hatari sana.